Sheikh Sharifu Mikidadi alikosa kosa kumchoma mtu kisu utotoni Mimi Deo Kisandu nikampanchi

Humjui kabisa huyo jamaa. Kiufupi huyo ni tapeli tu wala hajawahi kiwa sharifu, jina lake ni msopa. Acha uongo wewe
Haaa, upo right 2009 alianza kupokea mihadhara kama mwenyej wao hasa uwanja Wa bahressa manzese ghafla namuona kwenye TV kawa Sharif, kweli vyuma vimekaza
 
*UTABIRI WA HALI YA NDOA*
Wanaume watakuwa wakali kipindi cha January mpaka mwanzoni mwa february na kwa wanawake walioolewa na watumishi wa umma kutakuwa na vipindi virefu vya hasira na kusonya
Aidha ukanda wa ```Michepuko``` hali haitakuwa shwari kwa sababu PESA hazitavuma kutoka mifukoni mwa wanaume. Kiwango cha juu cha ```usaliti``` kitapungua na kufikia 0. 75% wakati chuki ndani ya ndoa ikiongezeka kufuatia uhaba wa pesa.
Utabiri huu wa hali ya ndoa umeletwa kwenu na ```Mamlaka ya hali ya Ndoa nchini```
AHSANTE
Siku njema.
 
Kumradhi.
Sio sheikh Sharifu Majini Bali ni Sheikh Sharifu Mikidadi Matongo. Nimeambatanisha Picha yake.
 
Sijaona sehem uliopanchi aseeh, au kujikunja chenyewe ndo we umepanchi? U got serious problem mzee, wahi kwa Dr bado ukiwa unajitambua. Maana unapoendea utaanza vua nguo adharani ukashindwa jielezea kwa Dr
 
Deo Kisandu wewe kiboko. Sasa ni wapi ulipompanchi huyo Sherifu Majini? Nimeusoma uzi wako wote hakuna mahali ulipoelezea jinsi ulivyompanchi Sherifu Majini ili asimchome kisu Atanasi.

Kaazi kweli kweli.
 
Ndio maana dish lipo tenge

Hahahahahaaa mkuu uneniachaa hoi sana, eti dish la kisandu lipo tengee, lakini tujiuulize nini maana ya kumpanchi? Au kisandu ana maana yake nyingine
 
Mzee wa kuwekewa kitu kigumu kama nyoka matakoni umeamka tena? Wewe ni noma.
 

IYO picha uliyoweka wewe huyo ni shehe sharifu originally, ,,,Yule Taperi ni mweupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…