TANZIA Sheikh Suleiman Kilemile afariki dunia

RIP Sheikh. Tuombee kwa mola wetu.
A word or two!
1. Kama hii tabia ya kujaa msikitini eti kwa vile ni mwezi wa toba Mungu atawaeousha na hili janga kuna shida kwa Mapadre na Masheikh wetu. Naona hapa nilipo misikiti inajaa kama vile hakuna corona! Humwambii mtu kitu!

2. Kushindwa kuchukua tahadhali tunazohimizwa nazo na kumtegemea Mungu , ni kumjaribu Mungu na yeye hataki hivyo.

(sijui kafa kwa ugonjwa upi, ila nakuwa na wasiwasi na mfululizo wa vifo hivi)
 
Siku hizi ninkiingia jamii forum naana angalia Tanzia....!

The good, the bad and the ugly.
 
Asalaam Alaykum wana Jf.
Miezi mitatu hii imekuwa ya misiba mikuu nchini Tanzania ,ikiwemo bara na visiwani.

Leo tena tarehe 6/5/2020 , Shekh wetu muadham Shk. Suleiman Amrani Kilemile katutoka.Shk. ni imamu wa msikiti wa Tandika ,mkaazi wa Kimara Baruti na Mwalimu wa madaris mabali mbali mjini Dar es Salaam ,Jana usiku alifariki duni Kinondoni katika Hospitali ya Dr, Mvungi baada ya kuzidiwa na Sukari akiwa Nyumbani kwake.

Shk. amehudumu katika Daawa ya kiislamu kwa miaka mingi tokea miaka ya 80 ,akisomesha na kutowa mihahara ya kiislamu katika miskiti mbali mbali.

Skh. Ni imamu wa Msikiti uliopo Tandika Maghorofani uliopakana na shule ya Maarifa Tandika Secondari .
Marehemu amezikwa leo Saa saba Mchana katika eneo la shule hiyo ya Maarifa Secondari School.
kwa vile Shk. ni Muasisi wa Shule hiyo na ni mjenzi wa Msikiti uliopo karibu na shule hiyo ya Maarifa, ambao tangia uanzishewe mwishoni mwa miaka ya 90 uko chini ya uongozi waki .

Tunamuombea Allah amuweke mahali pema peponi -Amin na amuepushe na adhabu ya Moto wa Jahannam. Amsamehe makosa yake na amkubalie mema yake yote na kuyaongeza daraja Amin.

Aidha wiki iliyopita Nchini Zanzibar
Sheikh Habib Allly Kombo alifariki dunia akiwa Nyumbani kwake kwa uzee.
SHK. Aliwahi kuwa Chif Kadhi wa Zaniziba na alisomesha wanafunzi wengi elimu ya Kiislamu.
Shk. habib alikuwa na fani zisizopungua 16 za kislamu na kwa kuwa alikuwa mwalimu mzuri sana , wengi walijifunza kwake ,
Shk Alikuwa Mfasiri mzuri wa Qur-an tukufu na alikuwa mweledi wa Lugjha ya kiswahili katika kutafsiri Qur-an , Alikuwa bobezi katika fani ya Mirath na kuandika baadhi ya vitabu katika fani hiyo.
Pengo lake kwa sasa si rahisi kupata mbadala wake Allah amweke mahala pema peponi -Amin.

Aidha
Miezi miwili iliopita Shk Nyundo naye alitutoka Ghafla.
Kifo chake kilileta mshituko mkubwa kwa Vijana na Kina mama ,ambao wengi wao waliguswa sana namawaidha yake yenye miguni ya kibabe na ukali wa kiaina yake.
Tukikumbuka Shk. Nyundo staili yake ya kutoa mawaidha na kugogoteza kwa mbwembwe ziliwavuta sana vijana,na kina mama
na kwa upande wa kina mama ,alikuwa akiwaasa sana kuachana na mambo machafu na watulie kwenye ndoa zao ,na kuwataka kukubali kuwa na uke wenza ,kwani si kasoro kuwa na mwenzio kwenye ndoa,
SKH. Nyundo alizikwa kwao Kizimkazi huku mazishi yake yakihudhuriwa na Maelfu ya waumini wa Rika zote.

TUNAMUOMBA ALLAH AWASAMEHE MAKOSA YAO NA AWAKUBALIE MEMA YAO NA AWAINGIZE PEPONI
AMIN.
 
RIP Sheikh. Tuombee kwa mola wetu.
A word or two!
1. Kama hii tabia ya kujaa msikitini eti kwa vile ni mwezi wa toba Mungu atawaeousha na hili janga kuna shida kwa Mapadre na Masheikh wetu. Naona hapa nilipo misikiti inajaa kama vile hakuna corona! Humwambii mtu kitu!

2. Kushindwa kuchukua tahadhali tunazohimizwa nazo na kumtegemea Mungu , ni kumjaribu Mungu na yeye hataki hivyo.

(sijui kafa kwa ugonjwa upi, ila nakuwa na wasiwasi na mfululizo wa vifo hivi)
KIFO HAKIKWEPEKI,
Na iwe umekufa na Sukari ,Presha,au Cancer zote ni sababu tuu za vifo,Lakini ki ukweli kila bina damu ni lazima aonje Mauti
 
Shukran Moderator kwa kuni attach hapa,nimeridhia kabisa.
 
Asalaam Alaykum wana Jf.
Miezi mitatu hii imekuwa ya misiba mikuu nchini Tanzania ,ikiwemo bara na visiwani.

Leo tena tarehe 6/5/2020 , Shekh wetu muadham Shk. Suleiman Amrani Kilemile katutoka.Shk. ni imamu wa msikiti wa Tandika ,mkaazi wa Kimara Baruti na Mwalimu wa madaris mabali mbali mjini Dar es Salaam ,Jana usiku alifariki duni Kinondoni katika Hospitali ya Dr, Mvungi baada ya kuzidiwa na Sukari akiwa Nyumbani kwake.

Shk. amehudumu katika Daawa ya kiislamu kwa miaka mingi tokea miaka ya 80 ,akisomesha na kutowa mihahara ya kiislamu katika miskiti mbali mbali.

Skh. Ni imamu wa Msikiti uliopo Tandika Maghorofani uliopakana na shule ya Maarifa Tandika Secondari .
Marehemu amezikwa leo Saa saba Mchana katika eneo la shule hiyo ya Maarifa Secondari School.
kwa vile Shk. ni Muasisi wa Shule hiyo na ni mjenzi wa Msikiti uliopo karibu na shule hiyo ya Maarifa, ambao tangia uanzishewe mwishoni mwa miaka ya 90 uko chini ya uongozi waki .

Tunamuombea Allah amuweke mahali pema peponi -Amin na amuepushe na adhabu ya Moto wa Jahannam. Amsamehe makosa yake na amkubalie mema yake yote na kuyaongeza daraja Amin.

Aidha wiki iliyopita Nchini Zanzibar
Sheikh Habib Allly Kombo alifariki dunia akiwa Nyumbani kwake kwa uzee.
SHK. Aliwahi kuwa Chif Kadhi wa Zaniziba na alisomesha wanafunzi wengi elimu ya Kiislamu.
Shk. habib alikuwa na fani zisizopungua 16 za kislamu na kwa kuwa alikuwa mwalimu mzuri sana , wengi walijifunza kwake ,
Shk Alikuwa Mfasiri mzuri wa Qur-an tukufu na alikuwa mweledi wa Lugjha ya kiswahili katika kutafsiri Qur-an , Alikuwa bobezi katika fani ya Mirath na kuandika baadhi ya vitabu katika fani hiyo.
Pengo lake kwa sasa si rahisi kupata mbadala wake Allah amweke mahala pema peponi -Amin.

Aidha
Miezi miwili iliopita Shk Nyundo naye alitutoka Ghafla.
Kifo chake kilileta mshituko mkubwa kwa Vijana na Kina mama ,ambao wengi wao waliguswa sana namawaidha yake yenye miguni ya kibabe na ukali wa kiaina yake.
Tukikumbuka Shk. Nyundo staili yake ya kutoa mawaidha na kugogoteza kwa mbwembwe ziliwavuta sana vijana,na kina mama
na kwa upande wa kina mama ,alikuwa akiwaasa sana kuachana na mambo machafu na watulie kwenye ndoa zao ,na kuwataka kukubali kuwa na uke wenza ,kwani si kasoro kuwa na mwenzio kwenye ndoa,
SKH. Nyundo alizikwa kwao Kizimkazi huku mazishi yake yakihudhuriwa na Maelfu ya waumini wa Rika zote.

TUNAMUOMBA ALLAH AWASAMEHE MAKOSA YAO NA AWAKUBALIE MEMA YAO NA AWAINGIZE PEPONI
AMIN.
Amin thumma amin.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kafa mtume sembuse huyo shehe. Acha ujinga ewe kafiri usiye kuwa na maadili.
Au umezaliwa nje ya ndoa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikizaliwa nje ya ndoa ama nikizaliwa ndani ya ndoa hilo ww halikuhusu... point ni kwamba usilete mzaha na dharau pale mtu anapoandika tanzia au kuleta uzi kama huu kisa tu ww una machuki na mashekh kama ukishindwa kabisa we pita si lazima ucoment
 
Sina chuki na masheikh kwa sababu ni viongozi wangu. Na mzaha hata msibani upo. Mimi ni muislam safi tena kuliko wewe.
Mtume Muhamad saw aliwahi fanya mzaha lakini hakuwahi kutukana. Allah akufnyie wepesi kuacha kutukana. Sema amiiin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaelekea shehe hajafanyiwa nyambura, kwa hio hatuwezi kujua kama ni ummy.
Hiki ni nini kama sio kashfa kwa shekhe? Na huo mzaha aliouleta mtume ndio huu? Au huo uislam wako safi ndio huu? Hebu chukulia kwa mfano shekhe ndio baba yako kisha anatokea mtu anaandika hivi!! Kwa huu upuuzi wako ndio unajiita muislam safi?
 
Katafte makafiri wenzako ubishane nao. Mm sina mda na wajinga kama ww?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom