TANZIA Sheikh Suleiman Kilemile afariki dunia

Dini ya kiislamu inakataza mzaha sehemu yoyote sio tu msibani.tena unapokuwa makaburini hutakiwi kusema neno lolote ila kumtaja allah tu.wewe ni muislamu wa wapi unasema dini inaruhusu mzaha waislamu ubwabwa mpo wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndio wale waislam mnaye fanya tuchukiwe duniani. Huna tofauti na ISIS. Mtume Muhamad saw alifanya mizaha mingi. Mojawapo ni alimbeba mtoto mdogo na kumuita kindege. Ya pili alimwambia sahaba yake mbona macho yamekua meupe akimaanisha amekua kipofu na baada ya mda akamuambia ni utani. Hii ni dini ya Allah na inahitaji busara kuliko nguvu matusi na fujo.
Mfano aliingia bedui msikitiji akatoa dushe akaanza kukojoa. Maswahaba wakataka kumpiga,mtume akaawaambia mswahaba muacheni amalize haja yake.


Ndipo bedui akamaliza na mtume akamwambia kistaarabu hapa ni mskiti ni mahali pa kusali na kusoma quraan si pahali pa kujisaidia. Kisha akamwanbia nenda.

Yule bedui alirudi na kuslimu. Nimeandika kwa kifupi ili kuonesha busara za mtume. Na wewe jaribu kitumia busara na Allah atuzidishie busara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jilinde, linda familia yako na uwapendao. Usitegemee serekali
Wacha wajinga wasio na akili walale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nadhani in element ya watu kutaka kutumia vibaya baadhi ya Mambo ya kiimani, unapoona baadhi ya Christian wamevaa kanzu kwenye maandamano ya kwenda kumhifadhi shekhe katika kipindi hiki Cha covid 19 unapata wasiwasi je, tunamtumikia Nani au tunataka kumwaminisha Nani kwamba mikusanyiko Ni muhimu wakati huu.

Then serikali Kama imetulia hata makatazo hakuna, hapana hapa kuna watu waliopangwa....

Jipe muda zipitie zile picha utaona watu ambao naamini walifanya Mambo haya kimkakati na walichukua taadhari zote za kujikinga huku baadhi ya wananchi wakiwa hawajui.

Ewe mwananchi, chukua taadhari Corona inaua. Epuka kufuata mkumbo
 
Unafikiri hata kwenye maandamano wote ni waandamanaji?
 
Kijana uwe unafanya tafiti kabla ya ukurupuka...nani alikwambia kanzu huvaliwa na waislam pekee....? Kula urojo utulie.
 
Kwahiyo saivi tubaguane kwenye mazishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…