Dini ya kiislamu inakataza mzaha sehemu yoyote sio tu msibani.tena unapokuwa makaburini hutakiwi kusema neno lolote ila kumtaja allah tu.wewe ni muislamu wa wapi unasema dini inaruhusu mzaha waislamu ubwabwa mpo wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina chuki na masheikh kwa sababu ni viongozi wangu. Na mzaha hata msibani upo. Mimi ni muislam safi tena kuliko wewe.
Mtume Muhamad saw aliwahi fanya mzaha lakini hakuwahi kutukana. Allah akufnyie wepesi kuacha kutukana. Sema amiiin
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app