Sheikh wa Hezboullah Sadiq al-Nabulsi ameangamizwa!!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Sheikh aliyekuwa anawasomea dua Hezbollah Sadek Nabulsi naye aliangamizwa katika shambulio la Israeli kwenye eneo la Al-Zahraa huko Sidon leo asubuhi!!

Nawaomba tu Magaidi wa Hezboullah watafute tu Sheikhe mwingine!!!
​

============ For English Audience ====================​

According to "Lebanon Debate": Sheikh Sadiq al-Nabulsi was killed as a result of the Israeli raid that targeted the al-Zahraa complex in Sidon.​

SOURCE: LIVEUAMAP​

 
Sheikhe Mohamed Sobrin ni kati ya Masheikhe wanaowahamasisha magaidi kufanya ugaidi wako kwa kuwaaminisha kuwa hata wakifa huko Peponi watakabidhiwa mabikira 72 wa kuwabikiri.

IDF sasa imeamua kushughulika wapotosjaji hawa kwa kuwatanguliza ili wakaone kama kweli huko kuna Mabikira wanawasubiri!!
 

Attachments

  • IMG_20260408_161308_555.jpg
    26.2 KB · Views: 16
  • IMG_20260408_161308_564.jpg
    159.8 KB · Views: 16
Ila wanawaonea, watu wenyewe wamekaa kizembe zembe kweli, silaha zao mdomo na ndevu nyingi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…