johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ipi hiyo bwashee?!
Mkuu sjui unamaanisha kweli, utani mwingine ni kujitoa mhanga haswaa!!Uyo shehk wa ccm nimpenda sifa.
Shehe wa mkoa wa Dsm alhad Mussa Salum jana aliwahoji watangazaji wa kipindi cha Malumbano ya Hoja kwanini hawaweki vitakasa mikono na maji tiririka mlangoni?
Sheikh alilalamika kuwa yeye alipita bila kunawa popote hadi kufika hapo meza kuu alipokaa.
Mtangazaji Kivuyo alisema vitakasa mikono vipo kuanzia getini labda kwa sababu shehe alipitia VIP.
Source ITV malumbano ya Hoja!
Labda kuna utaratibu mwingine!Huo utetezi wa Kivuyo unashangaza..
Ina maana VIP ndiyo hawahitaji kunawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa bana si anunue cha kwake atembee nacho!Shehe wa mkoa wa Dsm alhad Mussa Salum jana aliwahoji watangazaji wa kipindi cha Malumbano ya Hoja kwanini hawaweki vitakasa mikono na maji tiririka mlangoni?
Sheikh alilalamika kuwa yeye alipita bila kunawa popote hadi kufika hapo meza kuu alipokaa.
Mtangazaji Kivuyo alisema vitakasa mikono vipo kuanzia getini labda kwa sababu shehe alipitia VIP.
Source ITV malumbano ya Hoja!
Acha hizo bhana!
Shehe wa mkoa wa Dar es Salaam alhad Mussa Salum jana aliwahoji watangazaji wa kipindi cha Malumbano ya Hoja kwanini hawaweki vitakasa mikono na maji tiririka mlangoni?
Sheikh alilalamika kuwa yeye alipita bila kunawa popote hadi kufika hapo meza kuu alipokaa.
Mtangazaji Kivuyo alisema vitakasa mikono vipo kuanzia getini labda kwa sababu shehe alipitia VIP.
Chanzo: ITV malumbano ya Hoja!
Hui sio ustaarabu wa JF. Nadhani kuna wakati watu walikuonya kuwa kuitana bwashee sio sawa.Ipi hiyo bwashee?!
Kwani ni tusi?Hui sio ustaarabu wa JF. Nadhani kuna wakati watu walikuonya kuwa kuitana bwashee sio sawa.
Bwashee kwa watu wa maeneo fulani ni utambulisho kuwa huyo mtu ni mwanaume, sasa JF member kama hajajitambulisha kuwa ni mwanaume au mwanamke unajuaje kuwa ni mwanaume? Ndio maana kukawa na utamaduni wa Ku address wengine kwa neno "mkuu".
Utamaduni huo umedumu kwa miaka 14 sasa kwa nini wewe hutaki kuuheshimu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlango wa VIP una detector inadetect virus na kuviua, VIP hawezi kuhangaika kunawa buana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hui sio ustaarabu wa JF. Nadhani kuna wakati watu walikuonya kuwa kuitana bwashee sio sawa.
Bwashee kwa watu wa maeneo fulani ni utambulisho kuwa huyo mtu ni mwanaume, sasa JF member kama hajajitambulisha kuwa ni mwanaume au mwanamke unajuaje kuwa ni mwanaume? Ndio maana kukawa na utamaduni wa Ku address wengine kwa neno "mkuu".
Utamaduni huo umedumu kwa miaka 14 sasa kwa nini wewe hutaki kuuheshimu?
Sent using Jamii Forums mobile app
astagafilula,,,,leta ushahidi kama kweli shehe anapenda masofa maneneKama na uyu shehe ni VIP basi mimi nahacha kuwa VIP, uyu shehe uyu mpenda wadada wenye t***ko nene uyu????.
Asstagafir
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni kweli uongeacho au ni uoni wako?Kama na uyu shehe ni VIP basi mimi nahacha kuwa VIP, uyu shehe uyu mpenda wadada wenye t***ko nene uyu????.
Asstagafir
Sent using Jamii Forums mobile app