Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Kila mtu ana mdomo wake na halipii kodi kama wewe ulivyotuhabarisha sisi ndio tunaotakiwa kukubali au kuona ni upuuzi crap.Adai analindwa na jini Subiyani.
Jamani huku si kumdhalilisha Slaa, kwa kumfanya kwenye jamii yetu aonekane ni MSHIRIKINA?
Ushauri wangu wa bure kwa SHEIKH... ni bora aingie rasmi kwenye kampeni chafu za CCM zilizojaa matusi , uongo, kashfa na kuchafulia watu majina.
Adai analindwa na jini Subiyani.

Source:
Ilikuwa katika gazeti la Tanzania Daima au Nipashe. Mimi niliisoma jana ila gazeti silikumbuki vizuri

Shekh yahaya jifunze kwanza kuvaa VIATU. umri huu kutembea peku ukiwa umevaa suti noma..!!!!!!!!!!!
Amen HaleluyahhhhhhhNatamani Slaa amfungulie Kesi ya Madai pindi kampeni zitakapomalizika kwani akifungua kesi sasa hivi vyombno vy habari vitapata mitaji
Nakuopnea huruma sana kijana.Kila mtu ana mdomo wake na halipii kodi kama wewe ulivyotuhabarisha sisi ndio tunaotakiwa kukubali au kuona ni upuuzi crap.
Iko kwenye gazeti la habari Leo mwandishi alikosa la kumuuandika Slaa akaona achapie hicho kisehemu wameishiwa ya kuandika ni kuwapuuza tu kama wapuuzi wengine.Source:
Ilikuwa katika gazeti la Tanzania Daima au Nipashe. Mimi niliisoma jana ila gazeti silikumbuki vizuri
Kama kweli unataka mabadiliko tuma ujumbe huu kwa watu 50 halafu soma signature yangu asanteNakuopnea huruma sana kijana.
Kipindi cha Mapinduzi ya Zanzibari nadhani ungekuwa bize na kumlinda Sultani.
Badilika, Muda wa mabadiko ni huu.
Kama kweli unataka mabadiliko tuma ujumbe huu kwa watu 50 halafu soma signature yangu asante