Huo ndio ujumbe niliokuwa nakufikishia then VOTE FOR SLAA.HATUDANGANYIKI umesikia kaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndio ujumbe niliokuwa nakufikishia then VOTE FOR SLAA.HATUDANGANYIKI umesikia kaka?
Shekh yahaya jifunze kwanza kuvaa VIATU. umri huu kutembea peku ukiwa umevaa suti noma..!!!!!!!!!!!
HATUDANGANYIKI umesikia kaka?
Nani asiyejua 90% ya vigogo wa CCM ni washirikina wakutupa? Na nchi hii haitaendelea as long inaendeshwa na washirikina wanaoabudu waganga kuliko Mungu.Abaki na mauchawi Yao huko huko ccm...
Source:
Ilikuwa katika gazeti la Tanzania Daima au Nipashe. Mimi niliisoma jana ila gazeti silikumbuki vizuri
Adai analindwa na jini Subiyani.
Jamani huku si kumdhalilisha Slaa, kwa kumfanya kwenye jamii yetu aonekane ni MSHIRIKINA?
Ushauri wangu wa bure kwa SHEIKH... ni bora aingie rasmi kwenye kampeni chafu za CCM zilizojaa matusi , uongo, kashfa na kuchafulia watu majina.
Kama kweli unataka mabadiliko tuma ujumbe huu kwa watu 50 halafu soma signature yangu asante
Nani asiyejua 90% ya vigogo wa CCM ni washirikina wakutupa? Na nchi hii haitaendelea as long inaendeshwa na washirikina wanaoabudu waganga kuliko Mungu.
Umesha wahi ona wapi mchawi tajiri?
:lol: Thats very true .....yule ni wa kum-ignore, anafanya marketing ya kazi zake wakati sisi tuko serious na nchi yetu kwa ujumla
Adai analindwa na jini Subiyani.
Jamani huku si kumdhalilisha Slaa, kwa kumfanya kwenye jamii yetu aonekane ni MSHIRIKINA?
Ushauri wangu wa bure kwa SHEIKH... ni bora aingie rasmi kwenye kampeni chafu za CCM zilizojaa matusi , uongo, kashfa na kuchafulia watu majina.
La jini Subiani iliandikwa katika Gazeti la TANZANIA DAIMA la Jumapili Septemba 12.
Huyo Sheikh Yahya si ndiye aliyempa JK hizo pete anazozivaa.? Ni katika mambo yao hayo hayo ya ushirikina. Ni hatari sana nchi kutawaliwa na ushirikina.