Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali,je ukifanyika uchaguzi wa uhuru na wa haki,Ghalib atamshinda Maalim?
According to CCM Arithmetics, it is very simple and always has been the same. Majina ya Dr. Bilal na Dr. Sheni yatapitishwa, Kamati Kuu CC itamwomba Dr. Bilal ajitoe ampishe Dr. Sheni kwa heshima kabla ya majina kupelekwa NEC, najua Bilal atakataa ombi hilo atadai majina yote yapelekwe NEC na kura zipigwe, nina uhakika wa 90% Dr. Bilal atapata kura za kutosha lakini NEC itapitisha jina la Dr. Sheni, mwisho kambi ya Dr. Bilal itasusia uchaguzi. Alternative kwa vile mzee wetu Sheni huwa hataki makuu atakubali yaishe.
Kama ni kweli basi wamemuingiza mjini mzee wa watu lakini kuhusu makamu sahau huyo wa monduli atausikia redioni tu.Tuwaache Wazanzibar wachague mtu wampendaye. Unajua bara kuna ndugu zetu wanaojidai kuwa wanazijua saaana siasa
na ndio walio m-mislead shein kwa kuona wamepata tu makamu mwingine wa rais (yule mama au kule monduli) basi hapo wamepata sababu ya kumpiga chini shein. Wanaona kuwa ni wenye nguvu saana kiasiasa kumbe ni siasa za kulazimisha tu. Lakini walijua kuwa shein hatopata na ilikuwa ni kupata sababu ya kutompa umakamu rais tu tena.
Tuwaache Wazanzibar wachague mtu wampendaye. Unajua bara kuna ndugu zetu wanaojidai kuwa wanazijua saaana siasa
na ndio walio m-mislead shein kwa kuona wamepata tu makamu mwingine wa rais (yule mama au kule monduli) basi hapo wamepata sababu ya kumpiga chini shein. Wanaona kuwa ni wenye nguvu saana kiasiasa kumbe ni siasa za kulazimisha tu. Lakini walijua kuwa shein hatopata na ilikuwa ni kupata sababu ya kutompa umakamu rais tu tena.
.... this time for CUF.... waka waka eehee! tatizo kamuungano keti katakuwa mashakani.
Kwani jamani ukiwa makamu wa rahisi lazima pia utake Urahisi wa Zenj ,mi nafikiri miaka sijui 12 ya umakamu urahisi wa daktari Shein unatosha na inabidi akapumzike kwanza huko Mkanyageni akiendeleza ilani za chama chake ati,pia akasaidie Kilimo Kwanza huko Mkanyageni sio lazima atoke magogoni ahamie pale mnazi mmoja
Tatizo, sera za CUF ni za chuki, ubaguzi, udini, nk.
Tatizo, sera za CUF ni za chuki, ubaguzi, udini, nk.
Tusisahau: Dr Shein, kama atajitoa, ni kwa sababu ya afya yake!
Siwezi shangaa kujitoa,maana ilionekana kabisa kuwa CCM-Bara ndiyo wanamtaka Shein ili hali CCM-Kisiwandui wakiwa hawamtaki hata kusikia,walikuwa wanamuambia wazi kuwa yeye si mwenzao na hata Katiba inasema wazi kuwa Rais wa ZNZ lzm awe na uwezo wa kupiga kura kwenye jimbo lolote kisiwani ZNZ;Shein hakuwa na sifa hiyo!
By the way,iweje hadi leo kwenye zama hizi za demokrasia,kikundi cha watu wa Bara overwhelmingly ndiyo wawachagulie ZNZ mgombea wao?Kumbuka mwaka 2000 Dr Ghalib Bilal alishinda kwa kura nyingi kura za wajumbe wa CCM-ZNZ lkn hawa CCM-Bara ikamchagua Aman Karume na kwa uwingi wao mjengoni wakamfanya ashinde;kama Shein kajitoa ni ishara ya wazi kuwa sasa CCM imeanza kuwasikia wapiga kura wa CCM-ZNZ na ni dhahiri sasa Dr Ghalib Bilal ambaye ni hasimu namba moja wa Rais aondokaye Karume atatangazwa kuwa mgombea wa CCM-ZNZ akiendeleza na kurithi makundi yake yale ya Karume vs Komandoo!
Swali,je ukifanyika uchaguzi wa uhuru na wa haki,Ghalib atamshinda Maalim?