Shekh Mwaipopo amtabiria makubwa Dkt. Mwigulu Nchemba

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Shekh Mwaipopo amemtabilia makubwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akimpongeza kwa elimu na usomi alioupata katika ngazi ya chuo kikuu.

Amesema mafanikio ya Dkt. Mwigulu yamechangiwa pia na nidhamu, kujituma, uwezo wa kuwasikiliza wananchi na kufuatilia kero zao.

Kwa mujibu wa Mwaipopo, nidhamu, kujituma na kuwa karibu na wananchi ni miongoni mwa sifa zilizomsaidia Dkt. Mwigulu Nchemba kufikia nafasi hiyo ya juu katika uongozi wa Taifa.
Your browser is not able to display this video.
 
Yeye Mwaipopo hana nidhamu wala hajitumi ndiyo maana hana faida kwenye nchi zaidi ya usumbufu.
 
 
Kwani huyu Punguani ni nani katika Taifa hili?
 
Kwani huyu Punguani ni nani katika Taifa hili?
Yaani mambo ya chama yupo ya dini yupo ya wasanii yupo!
Na vyombo vya habari vinaitwa kabisa na akisema hakuna atakaerudisha usemi wake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…