Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,430
- 21,851
Ametumia Masaburi MkuuHuyu shehe ....... amefikiri hayo kwa kutumia nini?

Hawezi kutuharibia. Uislam upo zaidi ya mtuMalaria 2 hawa ndugu zenu ndiyo wanaowaharibia kabisa ..aa! Au nasema uongo ndugu yangu?
SHEIKH UBWABWA HUYO ANATEGEMEA TAKRIMA KUTOKA KWA MABWANA ZAKE. HANA AKILI HUYU PIMBI.Shekh Mwaipopo anasema Askofu Gwajima ndio anaeandaliwa na CHADEMA kugombea Urais kwenye uchaguzi Mkuu 2025 utakaofanyika Oktoba
Gwajima huyu anaunga mkono No reforms No Election, lakini habari tulizo nazo Gwajima anaandaliwa kushika bendera ya CHADEMA agombee urais ili apambane na rais Samia Suluhu Hassan. Amesema Shekh Mwaipopo
Kwahiyo Leo ndio mnakumbuka utapeli wake? 🤣🤣🤣Nakumbuka miaka ile "misukule" inafufuliwa kwa Gwajima!
Watu wametoka mbali. Wacheni ajaribu kwa upande wa ikulu Sasa.
Chadema wamezuiwa kufanya siasa. Na Chadema wamesema hawashiriki uchaguzi.Shekh Mwaipopo anasema Askofu Gwajima ndio anaeandaliwa na CHADEMA kugombea Urais kwenye uchaguzi Mkuu 2025 utakaofanyika Oktoba
Gwajima huyu anaunga mkono No reforms No Election, lakini habari tulizo nazo Gwajima anaandaliwa kushika bendera ya CHADEMA agombee urais ili apambane na rais Samia Suluhu Hassan. Amesema Shekh Mwaipopo
Ķwani ni dhambi huyu sheikh vipi huyu..?Shekh Mwaipopo anasema Askofu Gwajima ndio anaeandaliwa na CHADEMA kugombea Urais kwenye uchaguzi Mkuu 2025 utakaofanyika Oktoba
Gwajima huyu anaunga mkono No reforms No Election, lakini habari tulizo nazo Gwajima anaandaliwa kushika bendera ya CHADEMA agombee urais ili apambane na rais Samia Suluhu Hassan. Amesema Shekh Mwaipopo
No Reforms No ElectionShekh Mwaipopo anasema Askofu Gwajima ndio anaeandaliwa na CHADEMA kugombea Urais kwenye uchaguzi Mkuu 2025 utakaofanyika Oktoba
Gwajima huyu anaunga mkono No reforms No Election, lakini habari tulizo nazo Gwajima anaandaliwa kushika bendera ya CHADEMA agombee urais ili apambane na rais Samia Suluhu Hassan. Amesema Shekh Mwaipopo
Mwehu huyo hayo majitu ni majinga sana kuingiaga king. Shehe ponda alipoingia act hata kuongea hajaongea. Gwajima ni mwanaccm hatagombeaje kupitia chadema. Pili chadema imezuiwa ndiyo uone shehe popo ni chizi.Kala urojo wa wapi huyu?
Kaambiwa na nani kuwa cdm inashiriki uchaguzi?
Wahenga walisema, "Ukitaka kuua mbwa, mtafutie jina baya" na "Mwanzo wa ngoma ni lele"Shekh Mwaipopo anasema Askofu Gwajima ndio anaeandaliwa na CHADEMA kugombea Urais kwenye uchaguzi Mkuu 2025 utakaofanyika Oktoba
Gwajima huyu anaunga mkono No reforms No Election, lakini habari tulizo nazo Gwajima anaandaliwa kushika bendera ya CHADEMA agombee urais ili apambane na rais Samia Suluhu Hassan. Amesema Shekh Mwaipopo
We iman gani?Mashekhe ubwabwa! Hivi ushekhe na uganga wa kishirikina/uchawi ni kitu kimoja eh? Just curious...