GE2025 Shekh Mwaipopo: Askofu Gwajima anaandaliwa na CHADEMA kugombea Urais uchaguzi mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hapo sheikh ubwabwa katumia akili yake yote, yaani kawaza na kuwazua haswa kabla ya kutema ushubwada alioutema
 
Huyu naye, Chadema yenyewe mmeshaifungia Hadi kufanya siasa alafu mnaleta porojo zenu na tabiri zisizo na mashiko
 
Majina gani sasa haya eti mwaipopo afu ni shehe duh.
 
SHEIKH UBWABWA HUYO ANATEGEMEA TAKRIMA KUTOKA KWA MABWANA ZAKE. HANA AKILI HUYU PIMBI.
 
Nakumbuka miaka ile "misukule" inafufuliwa kwa Gwajima!
Watu wametoka mbali. Wacheni ajaribu kwa upande wa ikulu Sasa.
Kwahiyo Leo ndio mnakumbuka utapeli wake? 🤣🤣🤣
 
K
Chadema wamezuiwa kufanya siasa. Na Chadema wamesema hawashiriki uchaguzi.

Mwinjilisti, Mwaipopo amechagua garasa kwenye karata alizochanga. Aanze upya.
 
Ķwani ni dhambi huyu sheikh vipi huyu..?
 
No Reforms No Election
 
Kala urojo wa wapi huyu?

Kaambiwa na nani kuwa cdm inashiriki uchaguzi?
Mwehu huyo hayo majitu ni majinga sana kuingiaga king. Shehe ponda alipoingia act hata kuongea hajaongea. Gwajima ni mwanaccm hatagombeaje kupitia chadema. Pili chadema imezuiwa ndiyo uone shehe popo ni chizi.
 
Wahenga walisema, "Ukitaka kuua mbwa, mtafutie jina baya" na "Mwanzo wa ngoma ni lele"
Haya maneno ya Mwaipopo huenda yakawa ni calculated move kumtimua Bishop Gwajima uanachama.
 
"ana hoja za kitoto! Inabidi ajibiwe kitoto vilevile!!" alisikika shabiki wa no reforms no election
 
Yeah, aliyoyafanya Polex2 hayakuingia akilini. Ila ukisema wana Warioba nakubali, lao lilikuwa moja Tume ya Katiba, essentially Serkali 3. Si unakumbuka ripoti yao ilijaa TUNU hafpdi Professor Shivji akawakumbusha kuwa tunu si jambo la Muungano? Warioba is a traitor kumbe, si mnakumbuka alifukuwa ba Bosi wake Rais Mwinyi kwa fagio la chuma? How sad!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…