GE2025 Shekh Mwaipopo: Askofu Gwajima anaandaliwa na CHADEMA kugombea Urais uchaguzi mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tunako elekea nikusalia TU nyumbani MANA . UNAENDA KUSALI ILI usamehewe na MUNGU unafika unakutana na siasa. Eh MUNGU tuokoe waja WAKO na Hawa wapigania dunia kwa mgongo WA dini
 
Haya makenge tuwe makini nayo kwani ndio tunayotakiwa kuyaalni kwani hayajui wasemalo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…