Ina uhusiano gani na mada?alidanganya kuwa..anacheza soka la kulipwa sweeden kumbe alikuwa anauza duka
Pembeni matola "veron"Hapo pichani pia namwona boniface pawasa hao vijana walikuwa mafundi sana sema ndo hivyo mambo ya kupokezana vijiti!
Asante mkuu sikumgundua hivi ndo huyu walikuwa wanamwita mzee wa "kiminyio"Pembeni matola "veron"
Hapana kiminyio alikuwa madaraka suleiman mdogo wake aliitwa iddi suleiman "nyigu "au meya wa jiji huyu ni miongoni mwa wachezaji ambao almarhum said mwamba kizota akicheza nao ustaarabu wake ulikuwa wa kiwango cha juu yeye pamoja na fikiri magosso .Asante mkuu sikumgundua hivi ndo huyu walikuwa wanamwita mzee wa "kiminyio"
Pamoja sana mkuu,asante kwa kunikumbusha!Hapana kiminyio alikuwa madaraka suleiman mdogo wake aliitwa iddi suleiman "nyigu "au meya wa jiji huyu ni miongoni mwa wachezaji ambao almarhum said mwamba kizota akicheza nao ustaarabu wake ulikuwa wa kiwango cha juu yeye pamoja na fikiri magosso .
Hata mimi ndio nashangaa, tena bora comment hii uliippst kabla ya maigizo ya Azzam na Yanga usiku huu.kuna mpira bongo hata upoteze muda kujadili hapa? acheni utani. kupotezeana muda tu.
Mmmhh nawe...Hata mimi ndio nashangaa, tena bora comment hii uliippst kabla ya maigizo ya Azzam na Yanga usiku huu.
Kiminyio alikuwa madaraka suleimanAsante mkuu sikumgundua hivi ndo huyu walikuwa wanamwita mzee wa "kiminyio"