Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Katibu wa Taasisi ya Dini ya Kiislamu ya TWARIQA Qadiria Jaylania Arrasziqia Tanzania, Shekhe Haruna Hussein, amekanusha na kupinga vikali video inayosambaa mitandaoni ikimuonyesha kana kwamba anamuunga mkono mwanasiasa Humphrey Polepole kutokana na hoja zake dhidi ya Serikali.
Soma Pia: Sheikh Haruna atoa onyo kwa Humphrey Polepole kuhusu kauli zinazomchafua Rais Kikwete
Shekhe Haruna amesema kuwa video hiyo imetengenezwa kwa nia ya kupotosha ukweli, kwani mazungumzo halisi yalihusu onjo la ushauri alilokuwa akitoa kwa Polepole, akimtaka atumie njia sahihi za kuishauri Serikali badala ya kutumia mitandao ya kijamii.