Shekhe Haruna nilimuonya Polepole kwa maneno aliyokuwa akioyaongea dhidi ya Serikali

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Katibu wa Taasisi ya Dini ya Kiislamu ya TWARIQA Qadiria Jaylania Arrasziqia Tanzania, Shekhe Haruna Hussein, amekanusha na kupinga vikali video inayosambaa mitandaoni ikimuonyesha kana kwamba anamuunga mkono mwanasiasa Humphrey Polepole kutokana na hoja zake dhidi ya Serikali.

Soma Pia: Sheikh Haruna atoa onyo kwa Humphrey Polepole kuhusu kauli zinazomchafua Rais Kikwete

Shekhe Haruna amesema kuwa video hiyo imetengenezwa kwa nia ya kupotosha ukweli, kwani mazungumzo halisi yalihusu onjo la ushauri alilokuwa akitoa kwa Polepole, akimtaka atumie njia sahihi za kuishauri Serikali badala ya kutumia mitandao ya kijamii.

Your browser is not able to display this video.
 
Huyo sheikh hajui kwamba Polepole alijiuzuru baada ya kuona njia zote za kawaida za kuishauri Serikali zimeshindwa kuzaa matunda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…