Ni mapachaBAKWATA na UVCCM hakuna tofauti
Ila mashekh aaaah ni ufinyu gani huu wa akiloNina imani shekhe mkuu wa mkoa wa Dsm angekuwa yule aliyen'golewa hasingekaa Kaa kimnya mpaka Leo hasijitokeze kukemea kitendo alicho fanyiwa FAZA Kitima.
Swali je Shekhe mkuu Wa Tanzania na Bakwata mpoooo?
YapNi mapacha
Mashehe walio wengi hawana akili ya darasani, hata shehe mkuu hana digree nitajieni kiongozi mmoja wa dini ya Kiislam mwenye Phd.Nina imani shekhe mkuu wa mkoa wa Dsm angekuwa yule aliyen'golewa hasingekaa Kaa kimnya mpaka Leo hasijitokeze kukemea kitendo alicho fanyiwa FAZA Kitima.
Swali je Shekhe mkuu Wa Tanzania na Bakwata mpoooo?
Hao hawana mihemko kama ya wale wa teke sijui tecu..wanahubiri amani siku zote ..hata nyie mkiingia madarakani watawaunga mkono na Wala hawatakuwa na NDIMI mbili..BAKWATA na UVCCM hakuna tofauti
Kiuhalisi ukisoma Elimu ya Kiisilamu kiukweli kabisa na kuifuatilia inatosha kabisa kujua haki na batiliMashehe walio wengi hawana akili ya darasani, hata shehe mkuu hana digree nitajieni kiongozi mmoja wa dini ya Kiislam mwenye Phd.
Sheikh ponda alipopigwa risasi,TEC walitoa neno!?Nina imani shekhe mkuu wa mkoa wa Dsm angekuwa yule aliyen'golewa hasingekaa Kaa kimnya mpaka Leo hasijitokeze kukemea kitendo alicho fanyiwa FAZA Kitima.
Swali je Shekhe mkuu Wa Tanzania na Bakwata mpoooo?
Sheikh mkuu si alikuwa dokta mpg nyang....huo ndiyo ulimp umaarufMashehe walio wengi hawana akili ya darasani, hata shehe mkuu hana digree nitajieni kiongozi mmoja wa dini ya Kiislam mwenye Phd.
Say whaaaaat? 😂😂😂🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️.....wasn’t deserve it.