the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Kosa kama Lissu aliofanya na kupingwa lisasi 16.Alipigwa risasi kwa kosa gani huyu mwanaharakati wa dini ya kiislam?
Hapana sheikh ponda alitoa hotubu iliyochochea vurugu morogoro, akakamatwa lakini resistance ikawa kubwa jamaa akafytua risasi. Huyu ni mwanaharakati wa kiislamuKosa kama Lissu aliofanya na kupingwa lisasi 16.
kwani Lissu alifanya kosa gani?Kosa kama Lissu aliofanya na kupingwa lisasi 16.
Nani anae pima kipimo cha kuchochea, wewe hujui kwamba Lissu amekamata zaidi ya mara 10 kwa tuhuma ya kuchochea au kwasababu sio mwanaharakati wa kiislamu? Just be fair to everybody, hata kama una chuki.Hapana sheikh ponda alitoa hotubu iliyochochea vurugu morogoro, akakamatwa lakini resistance ikawa kubwa jamaa akafytua risasi. Huyu ni mwanaharakati wa kiislamu
Lissu alipigwa risasi a very fine day. Unaweza sema alitaka kuibiwa au kumalizwa kma matajiri wa arusha wanavyomalizwa, hakuchochea wala hakufanya lolote siku hiyo.
Huna akili wewe, tunaongelea kukamatwa mara kumi au kupigwa risasi. Mjinga nini wewe. Usihamishe madaNani anae pima kipimo cha kuchochea, wewe hujui kwamba Lissu amekamata zaidi ya mara 10 kwa tuhuma ya kuchochea au kwasababu sio mwanaharakati wa kiislamu? Just be fair to everybody, hata kama una chuki.