Shekhe Ponda: Nilipopigwa risasi na polisi (2013), askari wenzake walimshangaa mwenzao

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Shekhe Issa alipokuwa akihojiwa na Jambo Tv ameeleza kuwa mwaka 2013 risasi aliyopigwa ilipita nyuma ya beaga na kutokea mbele. Anaeleza hata askari wengine walioshuhudia tukio hilo walishangaa kwanini askari mwenzao alifanya hivyo.
 
Alipigwa risasi kwa kosa gani huyu mwanaharakati wa dini ya kiislam?
 
Kosa kama Lissu aliofanya na kupingwa lisasi 16.
Hapana sheikh ponda alitoa hotubu iliyochochea vurugu morogoro, akakamatwa lakini resistance ikawa kubwa jamaa akafytua risasi. Huyu ni mwanaharakati wa kiislamu
Lissu alipigwa risasi a very fine day. Unaweza sema alitaka kuibiwa au kumalizwa kma matajiri wa arusha wanavyomalizwa, hakuchochea wala hakufanya lolote siku hiyo.
 
Nani anae pima kipimo cha kuchochea, wewe hujui kwamba Lissu amekamata zaidi ya mara 10 kwa tuhuma ya kuchochea au kwasababu sio mwanaharakati wa kiislamu? Just be fair to everybody, hata kama una chuki.
 
Huna akili wewe, tunaongelea kukamatwa mara kumi au kupigwa risasi. Mjinga nini wewe. Usihamishe mada
 
Back
Top Bottom