Shekhe: Waislamu na Wakristo katika nchi hii ya Tanzania udugu wao ni wa kale

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Waislamu na Wakristo katika nchi hii ya Tanzania udugu wao ni wa kale; mapenzi baina yao ni ya muda mrefu, na hata ushirikiano wao umejengwa katika misingi ya amani na heshima kwa vizazi vingi.

Qur’an Takatifu inatukumbusha: ‘Na Mungu wetu na Mungu wenu ni mmoja, na sisi ni wenye kunyenyekea Kwake’ (Qur’an 29:46). Hii ni damu ya udugu, msingi wa umoja, na chemchemi ya taifa letu lenye upendo.

..kabla ya maandamano ya Oct 29 huyu Shekhe aliwahi kutoa kauli za hovyo, za kukejeli wanaodai HAKI.
 
Waislamu na Wakristo katika nchi hii ya Tanzania udugu wao ni wa kale; mapenzi baina yao ni ya muda mrefu, na hata ushirikiano wao umejengwa katika misingi ya amani na heshima kwa vizazi vingi.

Qur’an Takatifu inatukumbusha: ‘Na Mungu wetu na Mungu wenu ni mmoja, na sisi ni wenye kunyenyekea Kwake’ (Qur’an 29:46). Hii ni damu ya udugu, msingi wa umoja, na chemchemi ya taifa letu lenye upendo.

Wewe una akili na busara sana. Hizi dini zilitukuta na zitatuacha. Waletao udini wanasumbuliwa na ugonjwa uitwao apodomia au unyani na arabism au uarabu.
 
Back
Top Bottom