technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Wakati wa uhuni wa november 2024 hilo lilitokea pia,kwa kisingizio cha usalama,mara makopo ya bati,hivyo uhuni tarajiwa ni zaidi sana ya ule wa mkwe wetu wa nov 2024.Kama unatumia generator ukienda sheli kununua Mafuta hawauzi.
Poleni wafanya biashara mnaotegemea generator umeme ukikatika.
Kisa maandamano sheli haziuzi Mafuta
Kumbuka wamiliki wa sheli ndio hao hao wanamtandao.
Hawajui kwamba sheli zinaweza geuzwa majivu tarehe 29?
Tuendelee kuwepo maandamano yapo na yatakuwa nchi nzima.
Vijana tufanyeni mazoezi.
Hebu thibitisha hili jambo?Kumbuka wamiliki wa sheli ndio hao hao wanamtandao.
Kuna options ya mafuta mengine mengi ambayo ni imflamableKama unatumia generator ukienda sheli kununua Mafuta hawauzi.
Poleni wafanya biashara mnaotegemea generator umeme ukikatika.
Kisa maandamano sheli haziuzi Mafuta
Kumbuka wamiliki wa sheli ndio hao hao wanamtandao.
Hawajui kwamba sheli zinaweza geuzwa majivu tarehe 29?
Tuendelee kuwepo maandamano yapo na yatakuwa nchi nzima.
Vijana tufanyeni mazoezi.
Hamna shida ni kama Toyo, mfuko wa Rambo, sado, take away etcHivi kwanini vituo vya mafuta unaviita"Sheli"?
Kazimike kamkweche kako jirani na kituo cha wese,halafu nenda na kidumu,utapata majibu wala hahitaji kukuthibitishia!Hebu thibitisha hili jambo?
Hakuna cha Mungu tusaidie, mpaka tulipofika hapa tunamhitaji shetan zaidi, kuliko Mungu.Duh Mungu tusaidie ingilia kati kusitokee machafuko