Tetesi: Sheli zimezuiwa kuuza Mafuta kwa Watanzania

Kazimike kamkweche kako jirani na kituo cha wese,halafu nenda na kidumu,utapata majibu wala hahitaji kukuthibitishia!
Nilikuwa naomba source ya kwamba "sheli zote ni za mtandao"
 
Inawezekana hata wewe ni ama mtoto ama mnufaika,chakuelewa ni kuwa wanamtandao ndio uwanja wao wa kujidai kwa kuwa kuna super profit ila habari za kuthibitisha au kutothibitisha zitafute mamlaka husika.Ila ukisha lambishwa asali hata ukweli ulio usimamia kwa nguvu na imani vyote vinayumba!
 
Daah kuomba source ni kukataa kulishwa matango pori sasa tena mimi ndio nimekuwa mtandao??😆😆😆
 
Wakulishwa asali wanatangaziwa madau msimu huu wa maji ya shingo tena baraabaraa
 
Kama unatumia generator ukienda sheli kununua Mafuta hawauzi.

Poleni wafanya biashara mnaotegemea generator umeme ukikatika.

Kisa maandamano sheli haziuzi Mafuta

Kumbuka wamiliki wa sheli ndio hao hao wanamtandao.

Hawajui kwamba sheli zinaweza geuzwa majivu tarehe 29?

Tuendelee kuwepo maandamano yapo na yatakuwa nchi nzima.

Vijana tufanyeni mazoezi.

Kwani kutokea kwenye magari au pikipiki hayatoki? Mbona hamna kitu hapo?
 
Kama unatumia generator ukienda sheli kununua Mafuta hawauzi.

Poleni wafanya biashara mnaotegemea generator umeme ukikatika.

Kisa maandamano sheli haziuzi Mafuta

Kumbuka wamiliki wa sheli ndio hao hao wanamtandao.

Hawajui kwamba sheli zinaweza geuzwa majivu tarehe 29?

Tuendelee kuwepo maandamano yapo na yatakuwa nchi nzima.

Vijana tufanyeni mazoezi.
Hawauzi mafuta ukienda na Chombo chochote cha plastic hiyo ipo kisheria ilikuwa wanauza hivyohivyo kiujanjaujanja ila sikuhizi Ewura wanasimamia sana Sheria hizo.
 
Inasikitisha sana...

Navyofahamu mimi toka zamani vituo vya mafuta haviuzi mafuta kwenye vidumu vya plastic only kwenye vya chuma/bati...

Cc: Mahondaw
 
Sasa ndio suluhu, si unaweka kwenye gari halafu unayatoa
 
Kazi sasa imeanza, ila hii ni akili ndogo sana. Wacha tufanye kila kitu leo na kesho kuanzia mishumaa mpaka viberiti na maji na chakula ...ngoma inogile
 
Back
Top Bottom