Tetesi: Sheli zimezuiwa kuuza Mafuta kwa Watanzania

Mtoa mada achana na hy bangi unayonunuliwa, utakuwa unavutishwa madawa ya utindio wa akili
 
Reactions: Tui
Aisee
 
Ni rahisi sana ku bypass huo ujinga wao.

Kajaze gari full tank nenda sehemu kapige nyoka, nyonya mafuta toka kwenye gari weke kwenye dumu kusha nenda kajaze gari kituo cha mafuta, rudia hilo zoezi hata mara 1000, hakuna wa kukuzuia kujaza gari mafuta.

Kila la kheri tukutane October 29.
 
Nendeni Zanzibar huuza kwenye vichupa, mnaweza kudai mna boat ya uvuvi wakawauzia kwenye madumu idadi yoyote mnayoitaka
 
Tumeshajiandaa kitambo mzigo upo tunasubiri siku ya siku tuwarushie vimondo wahuni
 
Vituo vya mafuta na si SHELL. SHELL lilikuwa ni kampuni la mafuta la ki Dutch kama sijakosea lililokuwepo Tanzania miaka mingi ya nyuma. Kwasasa hili kampuni ni kama lilishaishiwa power Kwa nchi za kiafrika km Tanzania. Changamoto inapokuja kila kituo cha mafuta saiz kinaitwa shell wakati inaweza kuwa ni kampuni ya puma, total energies, lake oil,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…