Shelukindo afiwa na mwanae

Shelukindo afiwa na mwanae

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
THE Members of Perliament (MPs), Mr William Shellukindo and Mrs Beatrice Shellukindo have lost a child, Wito Shellukindo, it has been announced.

The Chairperson of the National Assembly told the perliamentarians that the child (Wito Shellukindo) died today in the morning at the Hindu Mandal Hospital in Dar es Salaam.

A Bumbuli representative, Mr Shelukindo is a prominent MP, as he chairs the Energy and Minerals Committee, while the wife, is a Kilindi representative. __________________
 
yap zimevunjika punde kuwa Mbunge wa Bumbuli bwana Shelukindo aka KIBONYEZO kafiwa na mwanae
i can confirm siyo Braka lakini nimeambiwa ni Will

stay tuned
RIP mtoto!
na mzee pole sana.mungu akupe nguvu
 
hata jina humjuwi ...kwanini umeirusha??? hujuwi unatesa watu bure...ni bora taarifa za msiba urushe ukiwa na taarifa kamili..
 
Uiyetoa taarifa huna uhakika, kwa hiyo we neglect it.
 
yap zimevunjika punde kuwa Mbunge wa Bumbuli bwana Shelukindo aka KIBONYEZO kafiwa na mwanae
i can confirm siyo Braka lakini nimeambiwa ni Will

stay tuned

Kulikuwa na haraka gani ya kutoa taarifa ambayo haijakamilika, tena ya msiba, na inawezekana hata huyo Will humjui, au kuna TUZO za breaking news JF.

Acha bana.

MJ
 
RIP
Poleni sana wafiwa!!!!
Kwani alikuwa anaumwa au vipi?
 
NI binti yake wa kati ya miaka 35 - 28, Anaitwa Witto Shelukindo. Mpaka mauti yanamfika alikuwa ni mwajiriwa wa Mbeya Cement huko Mbeya. Ameacha watoto wawili.
 
Pole mzee Shellukindo,Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
yap zimevunjika punde kuwa Mbunge wa Bumbuli bwana Shelukindo aka KIBONYEZO kafiwa na mwanae
i can confirm siyo Braka lakini nimeambiwa ni Will

stay tuned

Mkuu GT, sometimes chuki weka pembeni Mzee Shelukindo kaondokewa na mwanae wewe unaleta hiyo habari kama jambo la kufurahia mkuu vipi?? Au sababu mzee kakomaa na Richmonduli acha hizo

R.I.P
 
Hii haina uhusiano wowote na kuwasilishwa kwa ripoti ya Richmond leo? Nashindwa kuelewa.

RIP
 
Kwa kweli kifo cha huyu binti kimenisikitisha sana.....mzee shelukundo ataza***a na Rankim mwaka huu
 
JIANG ALIPO, 6th November 2009 @ 05:53,
Daily News

THE Members of Perliament (MPs), Mr William Shellukindo and Mrs Beatrice Shellukindo have lost a child, Wito Shellukindo, it has been announced.

The Chairperson of the National Assembly told the perliamentarians that the child (Wito Shellukindo) died today in the morning at the Hindu Mandal Hospital in Dar es Salaam.

A Bumbuli representative, Mr Shelukindo is a prominent MP, as he chairs the Energy and Minerals Committee, while the wife, is a Kilindi representative.
 
Pole sana Mzee shelukindo. Alikuwa kwenye koma kwa zaid ya mwezi sasa.
 
RIP ewe mtoto!Pole zangu za dhati na ziwafikie wazazi na jamaa wote wa karibu wa familia hii! Bwana Mungu awape nguvu ya kustahimili machungu!
 
R.I.P Witto! Mungu aijalie familia ya Shelukindo nguvu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
 
Back
Top Bottom