Hapo lazima utie heshima!Hi wana JF?
Ni hivi, kuna lililonikabili hivi sasa mpaka nakosa raha. Nimeoa na nimekuwa nikiishi na shemeji yangu wa kiume pamoja na dada yangu.
Huyu shem kaanza kujitegemea takribani miezi tano sasa ila tatizo langu ni kwamba yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na dada yangu baba moja mama mmoja na huyu shemeji yangu pia nae ni baba mmoja mama mmoja na mke wangu.
Niandikapo hivi ni kwamba hawasikii hawaambiliki na wanadai wanataka kuoana, jamani! hii inakubalika kweli kwenye jamii yetu?
Nimejaribu kuwaelekeza imeshindikana, hebu nishaurini hapa nitumie mbinu gani maana naona kama ni fedheha hivi.
Thanx sana.
Hi wana JF?

hahahahaaaa! bachaaaa!!! hapo umeua.Hii ni kama bata trade jinsi ilivyokaa eeeeeeh!
Hi wana JF?
Ni hivi, kuna lililonikabili hivi sasa mpaka nakosa raha. Nimeoa na nimekuwa nikiishi na shemeji yangu wa kiume pamoja na dada yangu.
Huyu shem kaanza kujitegemea takribani miezi tano sasa ila tatizo langu ni kwamba yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na dada yangu baba moja mama mmoja na huyu shemeji yangu pia nae ni baba mmoja mama mmoja na mke wangu.
Niandikapo hivi ni kwamba hawasikii hawaambiliki na wanadai wanataka kuoana, jamani! hii inakubalika kweli kwenye jamii yetu?
Nimejaribu kuwaelekeza imeshindikana, hebu nishaurini hapa nitumie mbinu gani maana naona kama ni fedheha hivi.
Thanx sana.
Hata mie nashindwa kuelewa tatizo ni nini?hakuna tatizo hata dogo hapo .........wacha waoane
Mkuu wa kaya aliksema ukitaka kula chamwenzio uje nawewe uliwe chako sasa yeye alivyokuwa ana do ze niful??jamaa likamwambia ngoja nitakuonyesha who i am!!!inawezekana alikuwa anamnyanyasa kwakuwa amemwoa dadake nayeye kafanya hivyo ili akome kumnyanyasa!that is it.Madhara wanayajua vizuri isitoshe hadi wanafikia hatua ya kutaka kuoana hao ni watu wazima wanaweza kutambua lipi baya na lipi zuri kama wataendelea ku do ze nid ful na najua hilo jambo tayari limeishafanyika basi watakuwa wanafahamu pia madhara yake
Unapomwambia mtu kuwa usishike waya za umeme utapigwa shoti basi asiposikia wewe muache ashike kusudi hali itakayomkuta, yeye ndiye atajua jinsi gani ya kujinasua, hao wote ni watu wazima wanajua wanalolitenda, hawajalazimishwa na mtu yoyote ni kwa mapenzi yao unajua kuna laana zingine na mikosi huwa tunaleta sisi wenyewe.
The finest
madhara ni yepi?
Mkuu wa kaya aliksema ukitaka kula chamwenzio uje nawewe uliwe chako sasa yeye alivyokuwa ana do ze niful??jamaa likamwambia ngoja nitakuonyesha who i am!!!inawezekana alikuwa anamnyanyasa kwakuwa amemwoa dadake nayeye kafanya hivyo ili akome kumnyanyasa!that is it.
I doubt kama wakizaa mtoto atakuwa sawasawa
The finest
madhara ni yepi?
Gaijin me naona kama madhara yapo bwana mbona wanachanganyana hivo wakati tayari washaunganisha undugu
Hata mie nashindwa kuelewa tatizo ni nini?
Si ndio kudumisha udugu na umoja wa ki-tz ? sosholojia gani tena? Huyu buraza mimi simuelewi..huyo dada yake asipoolewa atamuoa yeye?Nilikuwa najaribu kuangalia tatizo Kibailojia, kifizikia, na kikemia lakini sijaliona, japo kidooogo kisosholijia yaweza kuwa mbaya. Wee aache tu wakaongezeke mbele kwa mbele mnazidi kudumisha kaukoo.
Si ndio kudumisha udugu na umoja wa ki-tz ? sosholojia gani tena? Huyu buraza mimi simuelewi..huyo dada yake asipoolewa atamuoa yeye?