Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi wana JF?
Ni hivi, kuna lililonikabili hivi sasa mpaka nakosa raha. Nimeoa na nimekuwa nikiishi na shemeji yangu wa kiume pamoja na dada yangu.
Huyu shem kaanza kujitegemea takribani miezi tano sasa ila tatizo langu ni kwamba yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na dada yangu baba moja mama mmoja na huyu shemeji yangu pia nae ni baba mmoja mama mmoja na mke wangu.
Niandikapo hivi ni kwamba hawasikii hawaambiliki na wanadai wanataka kuoana, jamani! hii inakubalika kweli kwenye jamii yetu?
Nimejaribu kuwaelekeza imeshindikana, hebu nishaurini hapa nitumie mbinu gani maana naona kama ni fedheha hivi.
Thanx sana.
Gaijin me naona kama madhara yapo bwana mbona wanachanganyana hivo wakati tayari washaunganisha undugu