uporoto mpe ushauri mzuri jamani huu ni mtihani! suala la kupanga hata yeye analifahamu, huwezi kumwambia hivo kwani hujui anapatab shiling ngapi, hizi anazokutana nazo ni changamoto za maisha, mi nakupa pole sana na usimwambie dada kabisa kwa kipindi hiki, subiri kwanza, tafuta namna ya kuhandle stuation kama hii, huyo shem wako hajatulia! muheshimu na vaa vizuri unapokuwa home sio umtege make udhaifu upo hata adam alishindwa!