pinochet
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 345
- 96
Tafakari mrembo,chukua hatua. Shemeji obviously anataka kupanda mti wake hapo kwako hana lolote huyo,mbona massage parlours zipo kibao town? Tell ur sissy kwamba shem anahitaji hiyo huduma na ungeomba na yeye awepo ili ajifunze ili cku nyingine amfanyie hiyo huduma sweetie wake,period.