Shemeji antamani nfanyeje mie???

Shemeji antamani nfanyeje mie???

mambo mengine bana!!ukitamaniwa tu unataka kuvua chupi!!
wangapi wanakutamani? we kama unataka kuliwa au kulana na huyo shemejio,
endelea kwa mpango wako!!
 
I wish Fidel achangie hii mada, bila shaka atatoa ushauri mzuri sana.
 
Sasa anahitaji ushauri gani hapo??anataka aambiwe amkubali??
kwani hawezi kumchomolea:angry:

Yaani hata mi nashangaa hapo! Ina maana yeye hana jibu? Au anatafuta kuhararisha mambo yake? Jibu analo mwenyewe,asitafute watu ubaya.
 
Back
Top Bottom