Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
- Thread starter
- #21
Ha ha ha haAione Lucas Mwashambwa mezani kwake kwa msisitizo wa title
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha haAione Lucas Mwashambwa mezani kwake kwa msisitizo wa title
Dogo kalostika kwa kweli kuoa changu mwenye watoto na wanaume wengine, kama si uchawi uliotumika basi huyu dogo atakuwa zezeta wa mapenzi tu.Shemeji amependa haswa....si kwa machozi haya hapa ukumbini.
Kumbe Wanaume wenzetu kutoka Bukinabe ni mazezeta kiasi hiki?Nimeona sehemu wanasema Aziz Ki ana moyo wa kibukina faso
Ha ha hahuyu mamsapo atakua kampa mk*ndu kijana wa watu, ila inaonekana pia HM ana **** tamm sana.
Aziz ni lishamba kinoma utazan sio lijukuu la traole
Wanataka kuolewa waoHamtaki dada zenu waolewe?
Kaokota dodo jangwani.Aziz ni lishamba kinoma utazan sio lijukuu la traole
🤣🤣🤣Wanataka kuolewa wao
Kazi kweli kweli🤣🤣🤣
Wawaache dada zetu waolewe bhana.
Wasipo olewa wanawasimanga sana.
Analia sababu harusi kubwa hamna ndugu yake hata mmoja.