"Shemeji Bungeni!" Mume wa Spika Dkt. Tulia akitambulishwa, Sauti yasikika kwa mbwembwe

"Shemeji Bungeni!" Mume wa Spika Dkt. Tulia akitambulishwa, Sauti yasikika kwa mbwembwe

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

Huko Bungeni wakati anatambuliswa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Dkt. James Andilile Mwainyekule ambaye pia ni mume wa Spika Dkt. Tulia Ackson kuna sauti imesikika ikisema ''Shemeji''

Hii nchi bana inaendeshwa kijinga ipo kama Uganda
Baba Rais
Mama Waziri
Mtoto Mkuu wa Majeshi

Hapa Tz pia hivo hivo
Mama Rais
Mkwe Waziri
Mke Spika
Mme Mkurugenzi Mkuu EWURA
Kumbe ndo maana inakuaga ngumu bunge kusimamia Serikali.
Wewe ungekuwa Rais mtoto wako angekuwa anaendesha bodaboda?
 
Tundu lissu mbunge na dada yake alikua mbunge wa viti maalumu. Mbowe mwenyekiti hawala wake Joyce Mukya ni mbunge wa viti maalum. Dkt Slaa katibu na mbunge mkewe Rose ni mbunge viti maalum. Usiteseke na boriti toa kibanzi kwanza jichon
 
Wanaume tuna huruma sana Kwa kweli!
20250103_083146.jpg
 
Hii nchi bana inaendeshwa kijinga ipo kama Uganda
Baba Rais
Mama Waziri
Mtoto Mkuu wa Majeshi

Hapa Tz pia hivo hivo
Mama Rais
Mkwe Waziri
Mke Spika
Mme Mkurugenzi Mkuu EWURA
Kumbe ndo maana inakuaga ngumu bunge kusimamia Serikali.
Nchini Bangladesh wanafunzi wa Vyuo Vikuu waliamua kuanzisha Vurumai kubwa sana dhidi ya Utawala wa nchi hiyo kutokana na Mfumo huu mbaya wa Watawala wa nchi kugawana madaraka na Nyadhifa mbalimbali katika Serikali kwa mtindo huu. Waziri Mkuu wa nchi hiyo Shehe Hasina alilazimika kuitoroka nchi na kwenda kuishi Uhamishoni nchini India baada ya kuzidiwa na Vurumai zilizoanzishwa na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu.
 
Huyu apunguze kula vinginevyo huu mwili unakaribisha magonjwa. Halafu wewe mpuuzi wananchi hawataki picha kama hii... post picha inayohitajika na umma.
Hahahahahaaaaa 😂. Vipi mkuu hadi leo vita dhidi ya Iran inakaribia kuisha hatujakusikia shusha nondo watu wanasubiri kwa hamu kukusikia😅🤣😂
 
Hahahahahaaaaa 😂. Vipi mkuu hadi leo vita dhidi ya Iran inakaribia kuisha hatujakusikia shusha nondo watu wanasubiri kwa hamu kukusikia😅🤣😂
Mkuu ni kweli nimepokea msgs PM kama elfu 70 za kunisihi niseme kitu kuhusu hii mbungi ya Iran ila bahati mbaya nimebanwa na mambo mengi ya kitaifa. Kwa sasa niko bize sana kupangua hoja za CAG kuhusu ripoti aliyotoa.
 
Hahahahahaaaaa ila mkuu siku ile ulivyoposti huo uzi wako wako watu wakikusumbua na msg utoe neno kuhusu hii vita nilichekq balaa. Kila mara nsurudiaga kusoma🤣😂😅
 
Back
Top Bottom