Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wewe ungekuwa Rais mtoto wako angekuwa anaendesha bodaboda?Hii nchi bana inaendeshwa kijinga ipo kama Uganda
Baba Rais
Mama Waziri
Mtoto Mkuu wa Majeshi
Hapa Tz pia hivo hivo
Mama Rais
Mkwe Waziri
Mke Spika
Mme Mkurugenzi Mkuu EWURA
Kumbe ndo maana inakuaga ngumu bunge kusimamia Serikali.
😂😂😂Wewe ungekuwa Rais mtoto wako angekuwa anaendesha bodaboda?
Fvck CCMHii nchi bana inaendeshwa kijinga ipo kama Uganda
Baba Rais
Mama Waziri
Mtoto Mkuu wa Majeshi
Hapa Tz pia hivo hivo
Mama Rais
Mkwe Waziri
Mke Spika
Mme Mkurugenzi Mkuu EWURA
Kumbe ndo maana inakuaga ngumu bunge kusimamia Serikali.
Yaan sisi kila kitu tunatumia kikubwa liwepo tunduWanaume tuna huruma sana Kwa kweli!View attachment 3327700
Nchini Bangladesh wanafunzi wa Vyuo Vikuu waliamua kuanzisha Vurumai kubwa sana dhidi ya Utawala wa nchi hiyo kutokana na Mfumo huu mbaya wa Watawala wa nchi kugawana madaraka na Nyadhifa mbalimbali katika Serikali kwa mtindo huu. Waziri Mkuu wa nchi hiyo Shehe Hasina alilazimika kuitoroka nchi na kwenda kuishi Uhamishoni nchini India baada ya kuzidiwa na Vurumai zilizoanzishwa na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu.Hii nchi bana inaendeshwa kijinga ipo kama Uganda
Baba Rais
Mama Waziri
Mtoto Mkuu wa Majeshi
Hapa Tz pia hivo hivo
Mama Rais
Mkwe Waziri
Mke Spika
Mme Mkurugenzi Mkuu EWURA
Kumbe ndo maana inakuaga ngumu bunge kusimamia Serikali.
Huyu sio Tulia huyuWanaume tuna huruma sana Kwa kweli!View attachment 3327700
Huyu apunguze kula vinginevyo huu mwili unakaribisha magonjwa. Halafu wewe mpuuzi wananchi hawataki picha kama hii... post picha inayohitajika na umma.
Hahahahahaaaaa 😂. Vipi mkuu hadi leo vita dhidi ya Iran inakaribia kuisha hatujakusikia shusha nondo watu wanasubiri kwa hamu kukusikia😅🤣😂Huyu apunguze kula vinginevyo huu mwili unakaribisha magonjwa. Halafu wewe mpuuzi wananchi hawataki picha kama hii... post picha inayohitajika na umma.
Mkuu ni kweli nimepokea msgs PM kama elfu 70 za kunisihi niseme kitu kuhusu hii mbungi ya Iran ila bahati mbaya nimebanwa na mambo mengi ya kitaifa. Kwa sasa niko bize sana kupangua hoja za CAG kuhusu ripoti aliyotoa.Hahahahahaaaaa 😂. Vipi mkuu hadi leo vita dhidi ya Iran inakaribia kuisha hatujakusikia shusha nondo watu wanasubiri kwa hamu kukusikia😅🤣😂
Hahahahahaaaaa ila mkuu siku ile ulivyoposti huo uzi wako wako watu wakikusumbua na msg utoe neno kuhusu hii vita nilichekq balaa. Kila mara nsurudiaga kusoma🤣😂😅Mkuu ni kweli nimepokea msgs PM kama elfu 70 za kunisihi niseme kitu kuhusu hii mbungi ya Iran ila bahati mbaya nimebanwa na mambo mengi ya kitaifa. Kwa sasa niko bize sana kupangua hoja za CAG kuhusu ripoti aliyotoa.