Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,164
- 1,293
Jambo wadau.
Shemeji enu ana umri wa miaka 26 na ana mzunguko wa siku 30 ila kwa kawaida anableed siku 4 tu.
Tatizo ni kuwa akikaribia ku bleed kiuno seem ya chini ya mgongo panachemka sana. Yani hata ukipashika kwa mkono panakua na joto kali sana mpaka kuna siku ilinilazimu kumkanda na maji ya baridi.
Kuchemka huku huwa mara nyingine analalamika kuwa kiuno kinakaza yani kinauma.
N.B. Tangu nimemuoa nimejaribu kutafuta mtoto kwa miezi minne sasa kitu hakinasi hebu wandugu nishaurini yaweza kuwa nini tatizo.