shemeji enu anasumbuliwa na tatizo hili

shemeji enu anasumbuliwa na tatizo hili

Step by step

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
1,164
Reaction score
1,293
Jambo wadau.
Shemeji enu ana umri wa miaka 26 na ana mzunguko wa siku 30 ila kwa kawaida anableed siku 4 tu.
Tatizo ni kuwa akikaribia ku bleed kiuno seem ya chini ya mgongo panachemka sana. Yani hata ukipashika kwa mkono panakua na joto kali sana mpaka kuna siku ilinilazimu kumkanda na maji ya baridi.
Kuchemka huku huwa mara nyingine analalamika kuwa kiuno kinakaza yani kinauma.
N.B. Tangu nimemuoa nimejaribu kutafuta mtoto kwa miezi minne sasa kitu hakinasi hebu wandugu nishaurini yaweza kuwa nini tatizo.
 
Sorry
Duh miezi minne tu unaanza kupapatika tulia kijana na kuhusu suala la shem nenda nae hspt
 
Sorry
Duh miezi minne tu unaanza kupapatika tulia kijana na kuhusu suala la shem nenda nae hspt

yeah hosp lazima ntaenda lakini pia kuweka wazi na kupata maoni ya wadau si mbaya.
Nilivyojaribu mwezi wa kwanza mpaka huo wa nne hakuna kitu nimeona pengine kuna shida mahali bora nianze mapema kutafuta tiba
 
Sioni kama kuna tatizo. Cha muhimu nenda hospitali utaelezewa kila kitu.
 
Back
Top Bottom