Shemeji kaanza mazoea mabaya baada ya kuona Joka langu

Shemeji kaanza mazoea mabaya baada ya kuona Joka langu

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Posts
6,323
Reaction score
10,813
Ndinkafu!

Baada ya kuona Joka langu likiwa limetuna kwenye kaptura kaanza mazoea.

Wiki ya pasaka tulitembelewa na Dada wa mke wangu hapa nyumbani, juzi Jumanne Asubuhi wakati natoka niende kuoga kusudi niende kazini, Shemeji alikuwa akitoka chooni nami nikienda bafuni, vyote viko ndani Kwa ndani, sikutegemea kukutana naye muda ule, Joka langu lilikuwa limetuna haswa Kama ilivyokawaida yake kukasirika kila Asubuhi.

Shemeji aliliona Kwa aibu akaficha uso wake pembeni, akanisalimia kisha nikaingia zangu bafuni kuoga.

Toka jumanne mpaka Jana Shemeji amebadilika, ananichangamkia na kunitania utani wa kikubwa, imefikia hatua mpaka anamtania mdogo wake kuwa kizuri ale na nduguye, mara anamuambia mke wangu anafaidi sana, alafu anamzuga zuga.

Kilichonifanya niandike Uzi huu ni meseji yake aliyonitumia whatsApp Leo akiwa ametoka kwenda kanisani, meseji yenyewe inasema;

" Hello Shem! I'm sorry for that day, nafeel aibu 4 what happened, Ila Shem! Mmmh! Sijui nikwambie, let it be! I know wewe ni mjanja, unaelewa. I can't wait to see it Live😎. Au unasemaje Shem darling!!"

Hajakaa dakika moja akafuta, lakini nilikuwa nimeshai- quote ili nimjibu. Mimi nikamtumia emoji 🤔🤔, akawa ana-type lakini mpaka sasa hajantumia text.

Nasubiri muda akirudi kutoka kanisani maana yupi na Mke wangu, watapitia saluni Kama ilivyo kawaida.

Kumbe wanawake na ninyi mnatamaa mkiona mkuyenge ndani ya bukta au suruali
 
Siwezi iharibu ndoa yangu Mkuu.
Nijibu mnatamanigi mikuyenge ikiwa ndani ya bukta
Sasa umeandika thread ili iwe nini kama tayari una msimamo thabiti?

Ipo hivi, kuna sehemu nyuma ya ubongo wako ilishaamua kumtafuna shemeji. Hapa upo unatafuta justification tu. Otherwise ungepiga kimya na ukaendelea na mishe zako

Kila la kheri kwenye mchakato wako wa kuchakata tunda la shem darling wako
 
Back
Top Bottom