Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
Mwambie bamdogo achome hizo nguo zote au azifiche halafu aangalie what next.
wenzake kwenye mikoba yetu ya ofisini huwa tunakuwa na kanga, au siku hizi mitandio ambayo unaweza jifunga kama kanga ukipata "ajali". kama ni lazima sana kupanda hiyo pikipiki, au akikaa mbele za watu basi awe anajifunga kanga/mtandio. labda kama anapenda kuonyesha hayo mapaja.................. si unasema yanalipa? labda mwenzenu yupo kwenye matangazo
mwenzangu............, ngoja siye ya kwetu yaliyozeeka kuyaweke mukanga, lol!chezea paja. . . Lainii teketeke
Na huo ndo ulikuwa mtazamo wangu!
Enzi za uchumba ilikuwaje? hakuwa akivaa hivyo? na wewe huyo shemeji yako umemzoea sana..ushamfanya dada aako ebu muheshimuni bana..wewe na kaka yako!!!!!!!!!!!! shabash....eti mkamuweka kikao..we ukiwa kama nani!??
Mwambie Mumewe amwambie msimamo wake kuhusu hizo nguo na aanze mtindo wa kumnunulia Mkewe nguo ndefu lakini zinazofanana na zile anazopendelea Mkewe
nyie ndo mnaovunjaga ndoa za watu......
Na huyo kaka yako mnafiki, kipindi chote hakujua nguo anazopenda mwenza wake mpaka wakaja kuoana?
Akishavaa nguo chini ya goti mtamwambia nywele zinatamanisha.......
Mwisho mtamwambia chakula hakinogi aache kazi apike jamani...................
Hakuyaona haya kabla hajamuoa?
Kubadili mitindo ya mavazi wangeanzana wenyewe hukoooooo ila kwa sasa unajenga chuki tu hapo kati yako na shem wako......... Ipo siku utakuja na thread hapa
'shemeji mwenye uchungu na mke wa kaka yake'
shabaaaaaaaaash mwache achezee nguvu ya penzi..... Ipo siku atajuta.....
nyie ndo mnaovunjaga ndoa za watu......
Na huyo kaka yako mnafiki, kipindi chote hakujua nguo anazopenda mwenza wake mpaka wakaja kuoana?
Akishavaa nguo chini ya goti mtamwambia nywele zinatamanisha.......
Mwisho mtamwambia chakula hakinogi aache kazi apike jamani...................
Hakuyaona haya kabla hajamuoa?
Kubadili mitindo ya mavazi wangeanzana wenyewe hukoooooo ila kwa sasa unajenga chuki tu hapo kati yako na shem wako......... Ipo siku utakuja na thread hapa
akikua ataacha! Lakini naona kuna tatizo hapo, kwanini huyo mama mdogo amsikilize mumewe? Hamuheshimu? Au mumewe ni mpole kiasi kila anachomwambia anadharau. Na je, vp kwa mambo mengine akimwambia/akikatazwa huwa anatekeleza? Hizo nguo fupi ameanza kuvaa baaada au kabla ya ndoa?
Ndugu, naomba urudie kusoma upya. Nimesema alianza mwaka jana kununua na kuvaa nguo hizo.
Ukiw na tabia ya kuvunja ndoa za watu, unaweza kufanya kama unavyofikiri.
Pia nakuomba ufahamu kuwa suala hili tunalichukulia not as a very delicate but also a fragile issue.
nyie ndo mnaovunjaga ndoa za watu......
Na huyo kaka yako mnafiki, kipindi chote hakujua nguo anazopenda mwenza wake mpaka wakaja kuoana?
Akishavaa nguo chini ya goti mtamwambia nywele zinatamanisha.......
Mwisho mtamwambia chakula hakinogi aache kazi apike jamani...................
Hakuyaona haya kabla hajamuoa?
Kubadili mitindo ya mavazi wangeanzana wenyewe hukoooooo ila kwa sasa unajenga chuki tu hapo kati yako na shem wako......... Ipo siku utakuja na thread hapa
kwani mumewe hana sauti kwa mkewe, kama habadiliki hyo inaonesha dharau ya hali ya juu!!!!!
talk to her in a positive way huku mkimshauri mavazi mbadala takayoyapenda.
Kama habadiliki endeleen kumpenda na kumjali huku mkimshauri kwa upendo.
I believe with time atabdailika. hawezi vaa vimin maisha yake yote.
Binadamu tuna evolve go to pick, decline and then die.
If u cant win her, leave her or join her.
kuna tofauti kati ya GF/BF na HUSBAND AND WIFE, mimi kwangu gf hata atembee na chupi hainipi shida she is just a gf na wala haniaibishi, ila when it comes to wife hapo ni himaya nyingine kabisa...huwezi vaa kiheshima baki nyumbani ulee watoto, unataka tembea na mimi lazima (shall) uvae kiheshima
ila familia za kiafrica nazo zina mambo......
Unaolewa na mtu mmoja lakini ukoo mzima unadhani umekuoa.....