Shemeji mh mh...

we mbona unachanganya madesa apa?
yaaan mkono vtendo kwa rose hisia kwa asha d?
komaaaaaaaaaaaa lione vle:A S cry:

pole mamito,
dah, day dream hizi balaa tupu.........................
 


Nimekupata Bacha, in fact wewe na Rose mmenifanya niangalie issue upya...
 
Mmh! Kuna mambo hapo umeficha ficha hebu kuwa muwazi.
 
Umenikosha wewe mdada... ndo mawazo yangu, in fact i think mkaka needs me more kwani yuko mo affected.

Aaaah..Ashadii, kumbe ulishachagua upande eeh? Unatuzungushaaaa weeee.....
 
Aaaah..Ashadii, kumbe ulishachagua upande eeh? Unatuzungushaaaa weeee.....


ha ha ha Dina... Maneno ya Bacha na Rose1 yamenigusa.... am treading carefully sasa....lol
 

mhhh we si ndugu yake na bhoke..utamuweza huyu hata hakikuhita aripo ukacherewa wara usihogope
 
ni wazi kuwa wewe unampenda.....na wewe ndo umefanya waachane full stop
 
Muonjeshe - Probably Dada yako anaweza kubadilisha mawazo!
 
Hakuna mjadala hapo dada! pasua kichwa ya nini kashindwa dada utaweza wewe! otherwise umevutiwa nae
 
Inaonyesha na wewe una ka-interest, unamuangalia kwa jicho fulani, sema tabia nazo ndio zinakuboa, na huenda tayari! kwani otherwise asingekuwa mkali kwako anayetafuta huwa wana care hao! sorry kama nimekupeleka siko ndiko!
 

...kwani wewe unataka umfanye nini ewe mlimbwende?
 
Oya wasikuzingue watu wa JF wewe kama huna sehemu ulipo milikiwa just mwambie kuwa unamtaka, kwani huwezi jua jamaa huenda akakuoa, kama rafiki yako kashindwa na wewe ushindwe, acha utani changamkia tenda mdada tena mpaka simu unapigiwa,,,, bonge la bahati wewe komaa nae
 
Mtoa mada umenikumbusha kitu. Kuna dada alikuwa anaishi na mdogo wake. Mdada kaolewa na mume mwenye pesa za kumwaga ila mumewe utulivu ziro, mke utulive zero, mdogo mtu ndio we usiseme. Wote wawili mtu na dada yake walikuwa hawashikiki na ni wazuri mwisho. Dada mtu alikuwa muudumu wa ndege enzi zile ATC ilipokuwa ATC. Sasa siku moja dada kaaga anaenda safari kikazi, kumbe muongo kapata bwana wanatanua mujini. Mdogo mtu nae kumbe dada akisafiri yeye anakuwa sterling, anatembea na shemeji yake. Mziki ukaja mdogo mtu na shemeji wametoka kwenda kwenye matanuzi wasikutane na dada mtu na buzi lake. Yule dada alichofanya alivizia mumewe kaenda kazini akaenda kuchukua vitu vyake vyote akajipa talaka mwenyewe. Mdogo mtu nakwambia mpaka ndugu walimfata kwa shemeji na winchi maana alikuwa kang'ang'ana hataki kuhama.

Well nimeshare hii story sina maana unatembea na shemeji ila angalia usije gombana na huyo nduguyo kwani mimi nijuavyo rafiki wa adui yako ni adui. If it is over between shemeji na dada you should also keep distance utagombana na rafiki, sijuhi dada yako. Kwa uzoefu wangu hata kama there is no love between huyo dada yako na shemeji, akijua you are together hatapenda it is natural.
 
Rose you rock, very excellent, Asha mama Rose kasema yote kamaliza sina ya zaidi, Take the words
 
Huyu hakuoni kama shemeji anayo yake mengine kama wewe huna basi kaa nae mbali, ndugu yako kaachane nae hata wewe pia huhitaji kuwa karibu nae sio kama adui but kama ex-shemeji, maana mwishoni itakuwa shemeji shemeji huku mwazima taaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…