bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 797
we mbona unachanganya madesa apa?
yaaan mkono vtendo kwa rose hisia kwa asha d?
komaaaaaaaaaaaa lione vle:A S cry:
pole mamito,
dah, day dream hizi balaa tupu.........................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we mbona unachanganya madesa apa?
yaaan mkono vtendo kwa rose hisia kwa asha d?
komaaaaaaaaaaaa lione vle:A S cry:
ok, kwa ukaribu huu sasa wewe nadhani ndo mwenye jibu!
kama unaona kuwa karibu na huyo kaka ni sawa, kwa kuwa kile anachokihitaji kwako waweza mtimizia basi sioni ubaya,
lah, kama ukaribu huo waweza kusababisha kushindwa kutimiza kile anachokihitaji basi nadhani inabidi ukae mbali nae......................
Umenikosha wewe mdada... ndo mawazo yangu, in fact i think mkaka needs me more kwani yuko mo affected.
Aaaah..Ashadii, kumbe ulishachagua upande eeh? Unatuzungushaaaa weeee.....
Inakuaje wana mi niko poa naamini na ninyi mko safi na Mungu ashukuriwe kwa hilo.
Ishu ni kuwa kuna mkaka aliyekuwa shemej yangu kwa ndugu yangu ila kwa bahati mbaya wameachana siku za ivi karibuni,
Katika kipindi cha mahusiano yao mi nilikuwa mtu wao wa karibu sana katka kuwapatanisha,kupiga stor na mambo mengine ya kiurafiki.
kisa cha kuachana ni kuwa msichana anasema amechoka na uyo mkaka sababu mvulana ni mkorof,ana wivu kupita kiasi,mkali na anapenda kuamlisha. Tatizo ni kuwa sasa amenigeuzia mimi kibao japokuwa hajanitongoza ila anapenda kunikalipia hendapo nikicherewa kupokea simu, nikikataa kumfuata alipo anachukia na visa vingi utadhani mi mpenzi wake.mi bado namuheshimu sana. sasa wapendwa sielewi mi nimfanyeje
uyu shemeji naombeni utatuzi​
ha ha ha Dina... Maneno ya Bacha na Rose1 yamenigusa.... am treading carefully sasa....lol
Inakuaje wana mi niko poa naamini na ninyi mko safi na Mungu ashukuriwe kwa hilo.
Ishu ni kuwa kuna mkaka aliyekuwa shemej yangu kwa ndugu yangu ila kwa bahati mbaya wameachana siku za ivi karibuni,
Katika kipindi cha mahusiano yao mi nilikuwa mtu wao wa karibu sana katka kuwapatanisha,kupiga stor na mambo mengine ya kiurafiki.
kisa cha kuachana ni kuwa msichana anasema amechoka na uyo mkaka sababu mvulana ni mkorof,ana wivu kupita kiasi,mkali na anapenda kuamlisha. Tatizo ni kuwa sasa amenigeuzia mimi kibao japokuwa hajanitongoza ila anapenda kunikalipia hendapo nikicherewa kupokea simu, nikikataa kumfuata alipo anachukia na visa vingi utadhani mi mpenzi wake.mi bado namuheshimu sana. sasa wapendwa sielewi mi nimfanyeje
uyu shemeji naombeni utatuzi​
i am too old for this ...
to young so to say?
Rose you rock, very excellent, Asha mama Rose kasema yote kamaliza sina ya zaidi, Take the wordssweet hat...unacheza wewe..IVI UNAWAJUA WWANAUME VZURI MAMA?
uyo anatumia approach ya apeal to pitch...anajitia tia analilalia,anajitilisha uruma apo ili wewe uone ahh jamana uyu....then utampa time na attention zote...mwisho wa siku utajikuta ahh y not let me gve him..
wanaume wanasumaku na wanaanzia mbali mpenz....ni WAWINDAJ..apo anakulia timing tu na lengo lake nikukufanya KIFUTA MACHOZI..yaan akishakupata ndo machungu yake yataisha ,hasira ztamwisha....na io itakuwa km fimbo ya kumchapia uyo rafiki yako that nimemtia rafiki yake...apo ndo atajiesabia victory..
wanaume awakubali/kinawauma kushindwa na akishindwa atatafuta sababu za kujistfy au kujiinua tena ili aonekanae ajashindwa...
kuwa macho..uyo ANATAKA AKUFANYA TOOL YA KULIPIZA KISASI NA KUJIINUA TENA ILI AJIRIDHISHE AJASHINDWA...