Shemeji tumesikia ombi lako kwa sasa tuvumilie kidogo baki hukohuko....

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
KIBOKO YA WACHAWI KUNA UJUMBE WAKO KUTOKA KWA MASHEMEJI ZAKO.

Anaandika Samwel Lwiza "Shemeji
Tumelisikia ombi lako lakini kwa sasa tunaomba utuvumilie kwasababu sisi kama mashemeji zako tumechukia kuzuiliwa kuvimba nyumbani kwetu katika nchi yetu( ukweni kwako) ... Pamoja na hayo huku kwetu katika tamaduni za kibantu ukiisha ozeshwa unatakiwa uende na mke wako kwenu....tutaonana tena shemeji..by the way tutamiss yale majigambo yako...

Na wale viporo wakooo usiwasahau pia shemeji
 
Account yake pesa zimefilisiwa au mmemuachia achukuwe pesa zote.

Kwa zile Swagga nilijuwa huyu hafiki mbali, alipaswa kujifunza kwa Suguye mwenye mizizi na alifikiwa.

Atakayebaki ni Bulldozer peka yake amejitenga na uganga wa kienyeji.
 
Tapeli yuleeee sema uchawi ndio ulifinga watu wamkimbilie
 
Back
Top Bottom