Shemeji wa Diamond platnumz afanya operesheni ya kuongeza Lips

Shemeji wa Diamond platnumz afanya operesheni ya kuongeza Lips

Nimecheka sanaaaa....mbona wengine hatutaki maumbile makubwa? Yani hatutaki kero...sijui hao wanaowafanya muongeze ukubwa wa mzee wa kazi wana matatizo gani... 😂 😂 😂 😂
🤣 masuala ya mtu kuongeza UKUBWA wa maumbile na madawa ya nguvu za kiume kuna sababu kama 4

1. Kuna aina ya wanawake ambao ni wengi wanataka maumbile makubwa, na wanataka wapelekewe moto kweli kweli angalau dakika 30 mpaka lisaa ili waridhike.

2. Kuna wengine wanataka kulinda heshima, maana mtu anawekeza hela, siku akipewa K anataka aoneshe yupo vizuri, sio kukojoa ndani ya sekunde 15, ndio maana Busta,viagra, vumbi la kongo, mikuyati n.k vinatafutwa.

3. Wengine ni uchungu wa hela na mizinga anayopigwa. Kwa hiyo anaona akipeleka moto kwa angalau masaa matatu mpaka 6 au usiku mzima anakuwa anafidia hela aliyotumia kuwekeza katika K.

4. Wengine wanataka wawe kama zile njemba za kwenye porno. Wanataka wapeleke moto kama hao jamaa maana ndio kama marole modo wao. Kwa hiyo wanataka kufanya kama kwenye porno.
 
Yani kama matraako makubwa yanavofanya kazi vzuri basi hivyo hivyo hata lips kubwa zina suck vzuri sana.
 
Aliewahi kuwa Mke wa Kaka wa msanii Diamond Platnumz mwanadada Malaika, ameongeza ukubwa wa Lips zake.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Malaika amepost video inayomuonyesha akiwa na Lips nene jambo linalodhihirisha kuwa ametoka kufanyiwa Surgery ya Lips.

ANGALIA HAPA MUONEKANO WAKE MPYA
View attachment 2889850

Malaika aliwahi kuolewa na mtangazaji wa Wasafi Fm Ricardo Momo na baadae wakaachana.

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
MLY kila kwenye katikati ya neno ndugu mtoa post naomba uweke herufi A
 
Hivi mwanaume unajua kabisa mwanamke kafanya upaduaji na kuweka plastic kuongeza mwili, nywele za bandia , kucha za bandia,kope za bandia, Mboni za bandia, kope meno ya bandia, ngozi hatoki ndani kabla ya kujikandika marangi ili kufunika mabonde, unalitokea dude la nmna hiyo Sasa ulianza kulila hapo unakula binaadamu,puto , plastic au jini?
Halafu anangaika hivyo kama hatokufa ataishi milele!! ILA BINADAMU🙌🏻
 
Alikuwaga Mzuri tu sijui kapatwa na nini kwenda kujiongeza masilicone
 
Back
Top Bottom