kweli! kistaajabu y musa ......hapo hata mimi pananitatiza, ila vijana wa siku hz wana mambo mengi usishangae
kama unaona ni kifaa cha uhakika...
well hatuna cha kukushauri...
Nashaanga!Kumbe kuna Zubeda wanaume siku hizi.
<br />\<br />
we zubeda mbona sikuelewi unamtamani mwanamke mwenzio mbona jina lako ni la kike au semanya?
kama vip asipige mashineka vipi piga mashine
shemeji wa kike wa baba yaNGU mdogo anani hitaji kimapenzi,tena ana niambia mimi na yeye si ndugu kabisa,zaidi baba yangu mdogo kumuoa dada yake. Na akaonggeza wazazi wake yeye waliooana ndugu iweje mimi ishindikane,alafu ni sield huyu mama mdogo,nipo njia panda.
Na nikifaa acha kabisaaaaaaa...........
mimi na yeye si ndugu kabisa, alafu ni sield
Na nikifaa acha kabisaaaa.....