Shemeji wa kike wa baba yangu mdogo ananihitaji kimapenzi nimkubalie

Shemeji wa kike wa baba yangu mdogo ananihitaji kimapenzi nimkubalie

kama unaona ni kifaa cha uhakika...
well hatuna cha kukushauri...

Kweli mkuu,

Keshapigia mistari miwili (conclusion)...Kwa hiyo ama anatuzuga au anatafuta endorsement yetu!!


Kama kiu imeshamzidi naona atii kiu yake ila aangalie mila za kwao zinasemaje!

Kule kwetu... shemeji wa baba ni mke mwingine wa baba na mimi siruhusiwi kupita kwenye mapito yake!!
 
labda alitumia zubeda kuona wanaume tunafanya nini
 
shemeji wa kike wa baba yaNGU mdogo anani hitaji kimapenzi,tena ana niambia mimi na yeye si ndugu kabisa,zaidi baba yangu mdogo kumuoa dada yake. Na akaonggeza wazazi wake yeye waliooana ndugu iweje mimi ishindikane,alafu ni sield huyu mama mdogo,nipo njia panda.
Na nikifaa acha kabisaaaaaaa...........

Hapo kwenye Black tutaamini vipi, tuwekee picha yake kwanza.
 
Back
Top Bottom