Shemeji yangu akiwa na rafiki zake anasema mimba aliyonayo ni ya mwanaume mwingine japo sisi anatuambia ya ndugu yetu

Shemeji yangu akiwa na rafiki zake anasema mimba aliyonayo ni ya mwanaume mwingine japo sisi anatuambia ya ndugu yetu

Mbona ukiwajulia hupati tabu...wee unakuwa unawala mbususu wao ndio wanaishia kumwaga machozi.
Bro hawa sio wakuonea huruma kabisa...ni kwenda nao kijeshinjeshi.
Bby bby nyingi wakati unampelekea moto, baada ya hapo sura ya ukauzu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una akili ya kipumbavu Sana,
Unawezaje kutoa Siri za mwanaume mwenzio kwa mwanamke wake, Tena ukijua unaenda kuharibu mahusiano yake.
 
Una akili ya kipumbavu Sana,
Unawezaje kutoa Siri za mwanaume mwenzio kwa mwanamke wake, Tena ukijua unaenda kuharibu mahusiano yake.
Mkuu yeye ndo alihtaji hivyoo coz alishindwa kutoa maamuzi nika msikiliza na kumsaidia kufanya hivyo ili matatizo yapungue sasa wewe unakuja kunilaumu vip ungeniuliza kwanza ningekueleza ndipo ungenilaumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikiri kwa marafik zake atasema mimba ni ya ndugu ili wakamuambie shemej uwe ugomvi na aachike.

Tumia logic
 
Back
Top Bottom