May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Kwa hao Mashahidi unaowataja, ni bora tu ukaangalia ustaarabu mwingine kulinda amani ya pande zote mbili....maana hata ukitumia nguvu ukashinda kwa vyovyote mtaishia tu kuwa Mahasimu na sidhani kama utaweza kufika huko tena na ukawa salama maana wanaobaki huko shamba lilipo wote ni wa upande wa Baba Mkwe ambao tayari utakuwa na uhasama nao.
Hakuna kitu kitakupa amani ya moyo kama vile mtakabidhiana hilo shamba na shemeji yako kwa amani...na kama haikuwa haki yake basi ulimwengu wa roho utamalizana nae kimya kimya na hakuna cha maana atapata kutoka hilo shamba...MWACHIE.