Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Hajaniambia ndio mara yake ya kwanza kututembelea kwa style hii ya kuzima radarUtamlazaje mwanaume mzima na mtoto wa kike?Mlaze na wa kiume...kwani kakwambia anatamani hata ndugu!
Sikumaanisha kwamba anaweza kukwambia kweli...ishu ni kwamba hawezi kutamani ndugu unless ni mgonjwa!Hajaniambia ndio mara yake ya kwanza kututembelea kwa style hii ya kuzima radar
Sawa bibie,atacheza na barazaMlaze nje mwaya asikuharibie watoto
Habari za weekend waheshimiwa? Ni hivi nina shemeji yangu (mdogo wa kiume)kwa my wife wangu ambaye c rizki watu wanamuhemea mgongoni/gay ambaye anataka kuja kunitembelea ckukuu ya pasaka,binafsi kichwa knauma. je? Gay huyu alale chumba cha mtoto wangu wa kike au wa kiume.
Utamlazaje mwanaume mzima na mtoto wa kike?Mlaze na wa kiume...kwani kakwambia anatamani hata ndugu!
sikumaanisha kwamba anaweza kukwambia kweli...ishu ni kwamba hawezi kutamani ndugu unless ni mgonjwa!
Utamlazaje mwanaume mzima na mtoto wa kike?Mlaze na wa kiume...kwani kakwambia anatamani hata ndugu!
Mtafutie chumba cha peke yake. Huez jua unaweza kumlaza na mtoto wa kiume akamfundsha amfanyie hako ka mchezo. Inshort ni bora alale peke yake!
kwa usalama zaidi, amlaze na mtoto wa kike,
kwani wakiwa pamoja huko anajiona kama binti,
mwisho wa siku hakuna kitakachotokea!
Hehehe nawasikia tu!Inawezekana ni zaidi ya niwafikiriavyo?mmmh,Lizzy unawajua hawa watu vizuri au unawasikia tu?