Shemeji yangu gay, alale na nani?

Hasije kabisaaaaaa=!!!!!
Ukimkaribisha nyani shambani utavuna..........................????!?!!!!!
 
Mlaze chumba cha wageni :A S confused: ...
 
daaahhh
ilimradi mtoto asiwe chumbani
anaweza lala kwenye chumba chochote..

na kama we kama mzazi unaona
itakuwa uncomfortable kwa familia yako
kwa yeye kuwepo hapo nyumbani unaweza kumpeleka gest ..

Good weekend
peace
 
cha msingi mwanao ndo alale sitting rum mgen mpe heshima yake alale rum peke yke that
all usiumize kichwa sna dada yke c anajua mdogo wke punga
 
mi naoana kama haitaleta picha nzuri kwa watoto wake mana akimlaza na wakike atajiuliza mhh kwani uncle vp mbona analala na yeye, na mtoto wako wa kiume pia atashangazwa vp sister kulala rum mmoja na uncle..kama vp bora hata ukamkodie kaguest kama hamna rum ingine ya ziada
kwa usalama zaidi, amlaze na mtoto wa kike,
kwani wakiwa pamoja huko anajiona kama binti,
mwisho wa siku hakuna kitakachotokea!
 

Kwangu mimi haruhusiwi kukanyaga. Ushemeji gani huo wa kukaribisha mashetani nyumbani???
Piga BAN
 
icho anachokifanya tu ni ugonjwa tayar
sokuataman ndg pia si shda kwake
pls asilale na mtoto wa kiume..anaweza ata akamwomba amkwee na ivyo kuleta pcha /mbegu mbya kwa mtoto

atafutiwe chumba chake na uwe makin na watoto wako
Cna chumba cha ziada
 
Bora nikampangie guest
 
chumba kimoja alale binti na mama yake, chumba cha pili lilale shoga , wewe na kijana wako, ila wewe itabidi ulale katikati baina ya shoga na kijana ili just in case shoga likianza upopobawa wake likurukie wewe na kijana asalimike , aje kutetea katiba mpya bungeni.

naitwa klorokwini.
 
kwani kuna ulazima wa yeye kuja kwako kama hamna vyumba vya kutosha,halafu haya mambo ya kulaza watoto na wageni ndio nini?
 
hahahahahahaaaaaaaa kha!
 
...washawasha? kwani wanao wa kiume wana umri gani,
na huyo uncle wao ana umri gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…