Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
- Thread starter
-
- #141
Ok,nitampa kitaaKwani lazima umkaribishe nyumbani kwako mtu ambaye tayari anakunyima amani?. Mwambie hamtakuwepo basi kwani lazima aje?
Nasema hivi kwa sababu hujui litakalokupata kwani hawa wana kuwa controlled na spirit za Ushoga. Akija hapo anaweza kuja na hizo spirit akawaambukiza watoto wako au wewe hivyo try to be very careful
Habari za weekend waheshimiwa? Ni hivi nina shemeji yangu (mdogo wa kiume)kwa my wife wangu ambaye c rizki watu wanamuhemea mgongoni/gay ambaye anataka kuja kunitembelea ckukuu ya pasaka,binafsi kichwa knauma. je? Gay huyu alale chumba cha mtoto wangu wa kike au wa kiume.
Mimi ndio huwa napingana sana na watu, kwa sababu ni mwanao eti hata akiwa na tabia mbaya unaona sawa tu cause ni mwanao? huko sio kumpenda bali kumpotosha. Lazima mumuonyeshe kwamba tabia yake si nzuri na haikubaliki kwa Mungu na katika jamii nzima. Kama anataka kushirikiana nanyi basi aache hiyo tabia.
Mimi nina binti mmoja tu, na sijui kama nitakuja pata mtoto mwingine ila kwenye masuala ya malezi niko makini sana sijali eti kwa sababu yuko pekee basi kila afanyacho ni sawa, akikosea namuadabisha vizuri tu bila kujali yuko pekee au la, kifupi sina mchezo kabisa. Huwa anashangaa sometimes ila nadhani akija kua mkubwa ndio ataelewa nilikuwa namaanisha nini.
Kama una zizi la punda, mbuzi , kuku au mbwa mlaze huko iwapo una uhakika anafanya ushenzi huo.
Jamani maandiko matakatifu yapotufundisha kuwa mwanaume ni kichwa cha nyumba haimaanishi kuwa ni kutumia tu maubabe, bali ni kuwa na hekima na msimamo wenye faida kwa familia katika maamuzi mbalimbali. Mimi sioni sababu ya kumwa na unafiki kama hilo suala linajulikana kwa pande zote mbili kuwa huyo mtu ni shoga, i mean mkeo anajua na family yote upande wa kwao wanajua, hapo ni wewe kuonyesha tu msimamo kuwa hukubaliani na tabia hiyo chafu aliyonayo shemejio kwa kutomkubalia kukutembelea nyumbani kwako mpaka hapo atakapoacha hiyo tabia chafu.Habari za weekend waheshimiwa? Ni hivi nina shemeji yangu (mdogo wa kiume)kwa my wife wangu ambaye c rizki watu wanamuhemea mgongoni/gay ambaye anataka kuja kunitembelea ckukuu ya pasaka,binafsi kichwa knauma. je? Gay huyu alale chumba cha mtoto wangu wa kike au wa kiume.