Shemeji yangu Raimundo

Shemeji yangu Raimundo

Sawa ngoja nikuelekeze nilipo. Njoo soko la kimataifa la samaki eneo la Mwaloni, ulizia mama ntilie NAHUJA mwenye chakula kitamu, kizuri na chenye kuongeza nguvu za kiume utanipata. huwa ninauza hadi saa 12.00 jioni. karibu sana. Karibu ujilambe. Pia sio mbaya nikaribisha na wadau wengine huko walipo kama kuna siku watakuja MZA basi wanitambelee. Ushimen, Jiwedogo, MBITIYAZA, Kichwa Kichafu, Joseverest karibuni sana MZA

hahhahaha mie must nionane na ww tunyonye vya kunyonya!maisha ndo hayahaya!

nb:toka out na wahenga!lol ..sio kila mtu wakutoka naye
 
Mmmh mm nina maswali mengi sana nahisi u mwepesi kuchukia.
Mimi huwa nachukia mfano akinitukana, au wanaJF ambao wanapenda kuniita eti mimi ni Mwanamme. kama Ushimen hapo juu nimemuweka kiporo,ila nimeshamtumia video PIEMU aone kabisa sehemu zangu nyeti ili ajue ni Ke hahahahaahahah
 
Sawa ngoja nikuelekeze nilipo. Njoo soko la kimataifa la samaki eneo la Mwaloni, ulizia mama ntilie NAHUJA mwenye chakula kitamu, kizuri na chenye kuongeza nguvu za kiume utanipata. huwa ninauza hadi saa 12.00 jioni. karibu sana. Karibu ujilambe. Pia sio mbaya nikaribishe na wadau wengine huko walipo kama kuna siku watakuja MZA basi wanitembelee. Ushimen, Jiwedogo, MBITIYAZA, Kichwa Kichafu, Joseverest karibuni sana MZA
nimejikuta na like tu maana umetaja majina mawili hapa ambayo nina mashaka nayo
hahahahahah
 
Mimi huwa nachukia mfano akinitukana, au wanaJF ambao wanapenda kuniita eti mimi ni Mwanamme. kama Ushimen hapo juu nimemuweka kiporo,ila nimeshamtumia video PIEMU aone kabisa sehemu zangu nyeti ili ajue ni Ke hahahahaahahah
Nitumie na mimi nione nijiridhishe kwa ulichoniambia kama ni ke
 
Ebu fanya ukuje huku nyakato mecco, nakusubiria hapa Cheers tufanye mazungumzo tafadhali....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
MECO kuna majambazi sometimes ujue!! tafuteni sehemu nyingine halafu na mie mniite😉
 
Mimi huwa nachukia mfano akinitukana, au wanaJF ambao wanapenda kuniita eti mimi ni Mwanamme. kama Ushimen hapo juu nimemuweka kiporo,ila nimeshamtumia video PIEMU aone kabisa sehemu zangu nyeti ili ajue ni Ke hahahahaahahah
Ohhhpppsssss......
Ebu ngoja nichukuwe kipande cha sabuni alafu hiyo video niendenayo bafuni......[emoji39]
 
Back
Top Bottom