Ni hivi
shansarie chukua mf.
Wewe na
kiwatengu muwe mnaishi kwenye nyumba inayokuhusu ww.
Kisha itokee siku umefumania msg ktk simu yake , inayosoma :-
"mpenzi nimeshafika guest ileile ya siku ile , kanipa room 204 , afu dia uje na Kuku na chips , ila wasiweke yale matomato yao , chukua na malta ."
Then wewe
shansarie hukurupuki ! Unaminya ili ukamate kitu kamili , pia inakupa taabu kuijua gest husika , coz haikutajwa jina zaidi ya neno "ileile"
Muda mchache baadae jamaa anakuaga , nawe unaamua kumfuatilia kimafya .
Bahati njema anakata mitaa mitatu hivi , anajitoma guest na ww unazama humo.
Varangati/timbwiri vinatokea .
Kisha unamshtaki kwa wanandugu .
Ndipo anashusha neno "mi sijafanya kitu , ispokua haya yote ni manyanyaso ya mke wangu coz nakaa hapa kwao"
Inahusu ?
Nakuuliza
shansarie !
Mtu akazinzike na mauzinzi yake , afu umchunie !
Ndy iko hivyo procedure ?
Note : matukio ya wewe kumkamata kunako network ya uasherati yanakua mengi , na kila tukio utetezi wake ni huohuo!
Habadilishi kipya .