Shemeji yetu badili gear , hiyo imeshakua common !

ugovi wa dada na shemeji si wakuingilia
 
ugovi wa dada na shemeji si wakuingilia

B'REAL , unachokiongea ni points kabisa!
Btw zama zinabadilika .
Nikuulize swali , mathalan una Dadio kaolewa na somebody Mushi Kimaro .
Shemejio huyo unajua anamiliki legaly Revolver au any gun , unaposikia wana ugomvi hutoingilia kuupoza ?
Na umeshaona madada wa wenzako yaliowakuta .
 
Last edited by a moderator:
Sema kama ni kitendawili au ni hadithi;
Mie kidogo nitaje jina la shemejio hapa.
 
pole bestito mwaya
 
Sema kama ni kitendawili au ni hadithi;
Mie kidogo nitaje jina la shemejio hapa.

Afu hivi hujui kama una m'kesi m'zito (sio Zuberi) na mimi!
Hata sijui ataisuluhisha nani!
Hata Invizibo hawezi amua .
Labda kwanza tafuta zimbo, tudiscus matter ! Nione utakavyon'shawishi nikusameheje.
 
heeee! haya mwaya
Usishtuke due my msimamo!
Coz hauzuii mie kupokea pole yako as my ment . Afu homework ile uloniachia nipate zile details zako through Mtambuzi ama Bujibuji imekua kizungumkuti !
Hao pipo wako much scarcity now days foramuni .
 
Last edited by a moderator:
ndoa bila makazi yakukubaliana Kate ya mke na mume .ni tatizo ....
 
Una miakili sana wewe!
Ndo-maana Li kiwatengu hasikii la muadhini wala la anaenadi!
Kafa , kaoza , lachilachi , tepetepe , thopethope!
Chezeiya second winer miss c.c weye!

Second winer eeeh na mliipata.
 
Last edited by a moderator:
Una miakili sana wewe!
Ndo-maana Li kiwatengu hasikii la muadhini wala la anaenadi!
Kafa , kaoza , lachilachi , tepetepe , thopethope!
Chezeiya second winer miss c.c weye!

umeonaee nashangaaga watu huwa wanapigana wakifumania wakati kuna soln very simple kama hiyo akimaliza starehe atatia akili
 
umeonaee nashangaaga watu huwa wanapigana wakifumania wakati kuna soln very simple kama hiyo akimaliza starehe atatia akili

Akiomba radhi utamsamehe ?
Kama jibu ndiyo okey !
Anarudia tena mistake ileile!
Anarudia kuomba radhi ,
utamsamehe tena?
 
Akiomba radhi utamsamehe ?
Kama jibu ndiyo okey !
Anarudia tena mistake ileile!
Anarudia kuomba radhi ,
utamsamehe tena?

kama ni msg tu ntakusamehe na kukuonya ila fumanizi halina msamaha kila mtu atachukua time zake kwa amani kabisa
 
kukaa karibu na shemeji au dada ako alipo olewa HUO NI UBWETEEEEEEEEEEEEEE
 
kukaa karibu na shemeji au dada ako alipo olewa HUO NI UBWETEEEEEEEEEEEEEE

Mkuu B'REAL pliz usinikwepekwepe nimekuachia swali langu la msingi tangu jana .hujanijibu , fata ilipo comment yako ya kwanza .
 
Last edited by a moderator:
Una miakili sana wewe!
Ndo-maana Li kiwatengu hasikii la muadhini wala la anaenadi!
Kafa , kaoza , lachilachi , tepetepe , thopethope!
Chezeiya second winer miss c.c weye!

ha ha ha ha ha! ndiyo limimi huyo..na nampenda kweli kweli wife wangu.
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha! ndiyo limimi huyo..na nampenda kweli kweli wife wangu.

Congra Baabaake! Uliichungulia FURSA nje ya box!
Sasa usitoke ndani ya pitch ya mamaa shansarie !
Make sure unachezea mule-mule !
 
Last edited by a moderator:
Congra Baabaake! Uliichungulia FURSA nje ya box!
Sasa usitoke ndani ya pitch ya mamaa shansarie !
Make sure unachezea mule-mule !

Unajua kushabikia vya wenzio duh kwan we timu gani vilee
 
Last edited by a moderator:
Unajua kushabikia vya wenzio duh kwan we timu gani vilee

Basi nna timu mie Shemeji !
Apeche alolo!
Niko ka'mkia wa Mbuzi , haumsitiri kufunika ashaa-kum zake , wala haufukuzi Nnzi !
Sijui majaaliwa yangu ni Kiherehere! Sina hakika bado kulimaizi hilo .
Nway Shem langu hebu nipendekezee timu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…